Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Dah ewe binti, niweke wazi kwamba naipenda sana michango yako.

Bila hata kujua upoje, lkn hekima zako za michango zinanisisimua sana humu, huwa natafuta jinsi ya kukueleza lkn imenibidi nifunguke leo kwenye uzi wangu.
Hakika nitakufata kukueleza hisia zangu ingawa sikujui.

Ulitaka watu waweke sura zao hapa?
 
Hihihihihiii mbona nyie mnaweka zisizo zenu
 
Kiukweli huwa mnatutia genye sana na hizi avatar.
Yani unatamani kumfuata mtu PM kisa avatar yake.

Afu mkija humu mnalalamika mnasumbuliwa. Si muweke avatar ya sura mbaya muone km kuna mtu atakusumbua?

View attachment 503513 View attachment 503514 View attachment 503515 View attachment 503516
Ndivyo walivyo,wanapenda kuonekana wazuri ndio maana wana lipu stick,mekapu,poda vipodozi hereni,vikuku n nk, ni vingi mno,ni wachache wanao jiamini na kubaki ktk uhalisia
 
Back
Top Bottom