Wadada wa JF mna maana gani kutumia avatar za sura nzuri ambazo sio zenu?

Dah ewe binti, niweke wazi kwamba naipenda sana michango yako.

Bila hata kujua upoje, lkn hekima zako za michango zinanisisimua sana humu, huwa natafuta jinsi ya kukueleza lkn imenibidi nifunguke leo kwenye uzi wangu.
Hakika nitakufata kukueleza hisia zangu ingawa sikujui.

Ulitaka watu waweke sura zao hapa?
 
Hihihihihiii mbona nyie mnaweka zisizo zenu
 
Ndivyo walivyo,wanapenda kuonekana wazuri ndio maana wana lipu stick,mekapu,poda vipodozi hereni,vikuku n nk, ni vingi mno,ni wachache wanao jiamini na kubaki ktk uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…