hapana emmy akitaka zetu tumtumie pm si anataka picha hakuna shidaIla wamekuja kwa kasi.
Hivi kinawauma nini kama wanataka waone sura za wadada si waende facebook. Khaaaa
Kabisaaa ndo tulivyo bhana kwanza watuachehahahh hawajui mtu mweusi huwezi weka avatar ya mtu mweupe
Naomba nikujue japo sura my friendsiku mkianza kuweka sura zenu na sisi tutaweka
ila tunaojuana nao wanatosha kutujua tunavyofanana
Hahahaaaaa. Wacha weee na ndio dawa yaoWe waache wakizidi kutuchefua tunawapa ID watufollw huko insta wakaone uumbaji wa Mungu[emoji5]
hahaha watuache kabisaKabisaaa ndo tulivyo bhana kwanza watuache
[emoji4][emoji4]Hahahaaaaa. Wacha weee
[emoji2] [emoji2] [emoji2]We waache wakizidi kutuchefua tunawapa ID watufollw huko insta wakaone uumbaji wa Mungu[emoji5]
usijal Antonio utanijua tu sura yanguNaomba nikujue japo sura my friend
[emoji1][emoji1][emoji1]hahaha watuache kabisa
Mi napendaga kuona mashepu na siyo sura [emoji12] [emoji12]Ila wamekuja kwa kasi.
Hivi kinawauma nini kama wanataka waone sura za wadada si waende facebook. Khaaaa
[emoji1][emoji1][emoji2] [emoji2] [emoji2]
tunakimbiaje kwa mfanoNahis umetuona tumekuja karibia nusu yake
(rubii)Ni kweli wanaboa sana..!
Kama yule niliyempendaga akanikataa eti kisa mimi najua kusoma na kuandika tu.
Yaani kumbe ile picha huwa siyo yake duh.!
Niligundua hilo baada ya kupata mpenzi mpya hapa Jf ambaye aliona ile posti yangu ya kwamba "nampenda sana (iiduR)"
Kumbe wanafahamiana na wako kwa group moja watsapp akanionyesha jina lake halisi na picha yake original nilichoka.!
Kumbe ndo mchezo wao.[emoji119]
Sa hivi nimefunga breki kwa huyu ambaye ananipenda na avatar yake ni original.
Mashepu yapoo sura ndo usisemeMi napendaga kuona mashepu na siyo sura [emoji12] [emoji12]
Hahaa! Ila wanakera utadhani wao wanatizamika mmhhhhapana emmy akitaka zetu tumtumie pm si anataka picha hakuna shida
Haaaa ntakujulia fb labda mana pm ushaga weka kufuliusijal Antonio utanijua tu sura yangu
Nawashangaa mwanamke kujiamintunakimbiaje kwa mfano
na yatende ipo hujangaalia vzuriiiHapana aiseeh, huku naona ni juice ya malimao ni ngumu kucheza.