Wadada wa JF msaada wenu tafadhali, sijawahi pata PM hata moja..!

Ndiyo atafute akizipata automatic sisi tutajua
Yaani tutamjua bila wasiwasi.
Tuna mitambo maalum inayoakisi mpaka ndani ya screen na kwenda moja kwa moja mpaka mwilini mfukoni mwake
Dadeki
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kapeace mpenda bamia yupo wapi nowdays
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…