Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Yaani tutamjua bila wasiwasi.Ndiyo atafute akizipata automatic sisi tutajua
Tuna mitambo maalum inayoakisi mpaka ndani ya screen na kwenda moja kwa moja mpaka mwilini mfukoni mwake
Dadeki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani tutamjua bila wasiwasi.Ndiyo atafute akizipata automatic sisi tutajua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mke wa mtu sumu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Unadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
Kapeace mpenda bamia yupo wapi nowdaysJamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! 😡😡 Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiii😱
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
- Jolie jolie
- Numbisa
- Demiss
- Mama aabrina
- Geniveros
- Demi
- Shunie
- Miss natafuta
- Inna
- Maserati
- Minah24
- Nahuja
- Carbamazepine
- Cute b
- Miss chagga
- Sakayo
- Witness j
- Victor wa happy
- Cocochanel
- Madame B
- Lovely mumu
- Dj sepetu
- Mareth
- Madam S
- Gfsonwin
- Mahondaw
- Ukhuty
- Kapeace
- Nitarudi kuendekeza....
- Gentamycine
- V putin
- Limsambwanda
- Tumosa
- Y2n
- Majoto
- Kioo
- Mambembe
- beira boy
- The list
- Yeth lotah
- Padri mcharo
- Kisandu junior