He he Madame b kanifurahisha ebu tafuta helaTeh teh Hata ww shunie kweli
Unisaidie na mm nisiitumie nimeshindaa kabisa kuifungaNgoja waje wanakuja me pm situmii
Hahahahahah umemuua jamaniUnadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
Duuuhhh wacha tusokua nahela tuendelee kupendwa mpaka basi.Unadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
Hua una pm wavulana?Naomba uweke sijawah pm msichsna
Nani kasema?Ww si uopo singoo
Hahahah hadi DJ Sepetu ni mdada?Jamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! 😡😡 Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiii😱
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
- Jolie jolie
- Numbisa
- Demiss
- Mama aabrina
- Geniveros
- Demi
- Shunie
- Miss natafuta
- Inna
- Maserati
- Minah24
- Nahuja
- Carbamazepine
- Cute b
- Miss chagga
- Sakayo
- Witness j
- Victor wa happy
- Cocochanel
- Madame B
- Lovely mumu
- Dj sepetu
- Mareth
- Madam S
- Gfsonwin
- Mahondaw
- Ukhuty
- Kapeace
- Nitarudi kuendekeza....
Ebu mpm mzigua90 akupe maelezo ya kufunga au mwambie akupmUnisaidie na mm nisiitumie nimeshindaa kabisa kuifunga
Sawa nakuja . usisahau Ku screenshot pindi tuu nitakapokuja ili uwatumia whatsup group.Njoo inbobo bas mzur b
La shule ya msingiGroup lipi hilo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilitaka Niseme NenoSasa jitahidi ufike kilingeni Msata haraka ila kwenye hiyo list yako kuna mtu naomba umremove kwa sababu za wazi kabisa
Ngoja nipmEbu mpm mzigua90 akupe maelezo ya kufunga au mwambie akupm
Hahahahha haya bhanaa si umenitukana kwa ajili unajua Mimi matusi siwezi.Mfyuuuuuuuuuu zakoooo
Mm sinaga magrup aiseee
Usimwite namwogopa utafanya nibadili I'd buree.Mweeeeee labda si ww aisee Nikuitiee rubii rafk akoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ....Sasa jitahidi ufike kilingeni Msata haraka ila kwenye hiyo list yako kuna mtu naomba umremove kwa sababu za wazi kabisa