Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
Duh...!Niweke pm yakohapa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....lidemu mcharuko kabisaKumbe DJ sepetu ni mwanamke.
HahhahahaSawa nakuja . usisahau Ku screenshot pindi tuu nitakapokuja ili uwatumia whatsup group.
Jamani jamani wadada wa Jamii For life naomba msaada wenu please.
Nimejiunga Jf Dec 1 2016 Alhamis leo ni march 19 2018 nina kama mwaka miezi minne na siku 18 lakini toka siku hiyo sijawah pata pm yoyoye ile! π‘π‘ Hata mtu kukosea njia akawa kani pm mm haijatokea hata salamu tu sipatiiiiπ±
Wengine wanapata wapenz, wanabebishana wanakulana, wanamahaba niue ila KASORO DAVINCI TU! WHY?????
Mshana Jr nitikisie tunguri nami nipate kanjiwa kamoja ka kubebishana nako humu
Taarifa iwafkie..
- Jolie jolie
- Numbisa
- Demiss
- Mama aabrina
- Geniveros
- Demi
- Shunie
- Miss natafuta
- Inna
- Maserati
- Minah24
- Nahuja
- Carbamazepine
- Cute b
- Miss chagga
- Sakayo
- Witness j
- Victor wa happy
- Cocochanel
- Madame B
- Lovely mumu
- Dj sepetu
- Mareth
- Madam S
- Gfsonwin
- Mahondaw
- Ukhuty
- Kapeace
- Nitarudi kuendekeza....
- Gentamycine
- V putin
- Limsambwanda
- Tumosa
- Y2n
- Majoto
- Kioo
- Mambembe
- beira boy
- The list
- Yeth lotah
- Padri mcharo
- Kisandu junior
Jaman wit[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....lidemu mcharuko kabisa
Nampiga kipapai cha kimavi kwa gharama zake π‘hahahahahahahahahahahaha...........
mkuu!
kwahiyo akija na jina la huyo unamtaka amuondoe kwenye rist utamfanyaje?
Shunie umeniwahi kuuliza[emoji28] [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kiufupi hana hela
Shunie umeniwahi kuuliza[emoji28] [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kiufupi hana hela
Huyo mmoja mtoe tusitafutane ubaya π‘ π‘ π‘
Mi pm nikiingia bundle inaisha haraka kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unadhani wanawake wa Jf ni mandezi kiasi hiki!
Hata kama tuko nyuma ya keyboard, tunakujua mpaka mfukoni kwako kulivyo.
Baba, tafuta pesa....hizi sixpack waachie waliojichanga tayari.
Mwanaume asie na pesa, Pm ataipata kwa modereta kipindi anapewa sababu ya kwanini kala ban, otherwise.....utaisikia jukwaani tu.
Tena modereta mwenyewe wa kiume.
Sawa baba charm decorHuyo mmoja mtoe tusitafutane ubaya π‘ π‘ π‘
Mi mwenyewe nimeacha sababu ya bundle wakunyumbaNgoja waje wanakuja me pm situmii
Hela hakuna mama profile lake linajulikanaShunie umeniwahi kuuliza[emoji28] [emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi pm nikiingia bundle inaisha haraka kweli.