Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Utakoma leo Husninyo , mtoto wa mwenzio ndo keshakuzukia hivo!
khaaaa! Hunitakii mema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakoma leo Husninyo , mtoto wa mwenzio ndo keshakuzukia hivo!
hahahaha! Mutoto mubaya wewe. Njo huku nikunong'oneze.
Ha ha ha ha....jibu pm sasa...
wewe sema unataka shiling ngapi?
Wan pesa nenda geita Mine nilikuwa huko acha utani labda kama yupo kwenye mgodi wa mchuchuma huko deal hakuna unakuwa na wachina utamwuzia nani mkaa wa mawe??kwani hata ukiwa unasafirishwa hakuna ulinzi the way hakuna deal!!anaweza akawa mgodi flani lakini ni security guard.
hahahaha! Kipipi kashajileta. Sredi klozd
ahsant sana Mysteryman,uzi wako have made my day,nimecheka mpaka,niko hapa kwenye businss centre ya hotel watasha wanashangaa ninavyocheka na skrini,thanks buddy!
hahaha namuona ndo namlia taiming hapa nikiona fyongo nahamia kwa..ko. Hahaha my!
anatafta liwazo aise. Vpi hupendi kuwa mrs security guard?
Akhaa! Hata siwataki mwenzangu, akipata shift ya usiku je?
hahaha namuona ndo namlia taiming hapa nikiona fyongo nahamia kwa..ko. Hahaha my!
mtaka yote hukosa yote. Kipipi mdogo wangu hana noma.
mtaka yote hukosa yote. Kipipi mdogo wangu hana noma.
Kipiiiiiiiiipiii......my!
Akhaa! Hata siwataki mwenzangu, akipata shift ya usiku je?
huyo kipipi na husninyo wote riziki yako.tunaiita 2in1.mimi napita kama sijapita by ashadii.mia
khaaaa! Hunitakii mema.