Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,585
- 2,670
Hii michezo sasa inatosha
Ukitazama miili yetu kama tumetoka guantanamo inavyochakaa kwa meno, hasa nyie wadada wa mikoa ya kaskazini kule moshi, arusha n.k
Kwanini mtumie meno mnapofikishwaga kileleni aisee hayo si mambo ya kivampaya sasa na hapo ukishakula jino ukimsogeza kidogo bado unapigwa makucha kama yote, sasa mapenzi au ni vita.
Tofauti kabisa na mademu wa mikoa hii ya pwani hao silaha yao ni kiuno
Kaeni nao mjifunze kutoka kwao