ahaaaaa nimecheka balaaa yaani asipovunja anaumwa vile.pole jamani .Semeni nyie me kwangu kuamka asubuhi na glass moja ya kunywa maji / juice ndio kawaida nimeshasema nimechoka iliyobaki nanunua tu glass kama chumvi.
Nimeleta za plastic zinaachwa nimeleta cha chuma zimeachwa yuko na za vioo tu anavunja kama sehemu ya maisha yake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Semeni nyie me kwangu kuamka asubuhi na glass moja ya kunywa maji / juice ndio kawaida nimeshasema nimechoka iliyobaki nanunua tu glass kama chumvi.
Nimeleta za plastic zinaachwa nimeleta cha chuma zimeachwa yuko na za vioo tu anavunja kama sehemu ya maisha yake [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
nyie wadada naona kama mpo kwangu yaani .ni majanga poleni sana.kumkata mtu hela yake bwana inauma sana .unaanzaje jamani?Naona huu ni ugonjwa wa kila nyumba kiukweli toka nakua sina mkono wa kuvunja vyombo....ila msichana niliempata safari hii ananinyoosha yaan mpaka namuuliza unavunja makusudi?
Wifi angu msichana akivunja chochote anamkata wanaenda kununua wote ila mimi siwezi nawaza angekua mwanangu angevunja ningemlipisha?
Nilichokifanya ninanunua glass ninaziacha kwenye maboksi sijazitoa
hakuna hata anaemuangalia bna .wala hatuna shida nae nyumba yetu wadada watupu yeye tu na makusudi yakeTatizo ushamruhusu baba anapakua tu, basi beki tatu muda wote ana stress kwamba utamkaripia ndiyo maana anakuwa anatembea kama ana funza anaangusha vyombo na kupasua.
Kama umemruhusu baba kupasua, mwambie beki tatu asiwe na hofu afanye kazi bila stress.
On the real though, kuna direct relationship kati ya mtu kufanya makosa makosa mara nyingi kazini na stress levels.
Kuna mambo mengine hapo kwako unayaona ya kawaida tu, lakini mfanyakazi aliyetoka mbali anaona mtihani inakuwa stress kwake mpaka anavunja vyombo.
Kuna wadada wengine kuangaliwa tu wakati kabeba kitu tayari ni sababu ya kuweza kumfanya aangushe alichobeba.
sky sio hivo bwana hujawai vunjiwa set nzima ndani ya mwezi wewe usiombeMama alivunja vyombo ni bahati mbaya kuvunja dada si mwangalifu, sijui anafikiria wapi akiwa anaosha vyombo.
hata mimi huwa nachoka kuongea sana kuliko kuongea sana bora kujifanyia mwenyewe vitu vingineahaaaaa me kuongea mvivu sanaaana .wana visa sana acha tu basi tu maisha
Kanijibu hivyo hivyo, "vinateleza" mbona Mimi nikiosha havitelezi? Huku Ni kupeana hasara.Mara nyingi huwa ni bahati mbaya na sababu kubwa ni vyombo kuteleza sababu ya sabuni,kulundika vyombo bila kuosha na wakati wa kuosha anachanganya vyombo vyooote sehemu moja ndo aoshe.
Mpe maelekezo, asubuhi baada ya chai aoshe vikombe afute na apange kabatini, mchana hivyo hivyo ila aanze na glass kwanza ahakikishe amezifuta na kuweka panapostahili. Aendeleee na sahani au bakuli!!!! Jioni hivyo hivyo!!!! Lakini akiacha vikombe,vyombo vya mchana aoshe na vya asubuhi lazima atavunja!!!!
Akizoea hivyo haitakuwa rahisi kuvunja tena kuvunja.
Mie huwa naosha vyombo vyangu jioni na weekend asubuhi na jioni!!! Ila dada niliyenaye yuko makini sana