Wadada wa kazi na kupasua vyombo

Wadada wa kazi na kupasua vyombo

Vyombo vyako special ambavyo vina umuhimu kwako weka mbali aisee.

Utakuja kuumbuka kwenye special event huna chombo cha maana. Cutlery zote zimesuguliwa kwa steel wire, vikombe vyote na sahani vina ufa, chupa ya chai ndo unagundua haina hata yai. Lilishatagwa
Haha eti lilishatagwa
 
Vyombo vyako special ambavyo vina umuhimu kwako weka mbali aisee.

Utakuja kuumbuka kwenye special event huna chombo cha maana. Cutlery zote zimesuguliwa kwa steel wire, vikombe vyote na sahani vina ufa, chupa ya chai ndo unagundua haina hata yai. Lilishatagwa

ahaaaa halafu kaipanga kabatini hana hata habare.
Ahahahaaaaaa
 
Ahahahaaaaaa
usicheke kuna shosti wangu alifiwa halafu alikuwa hana hata miaka miwili toka aolewe .kipindi anaolewa alipewa mivyombo balaa .ila kwenye msiba yaani kila chombo ukigusa kina ufa .hadi aibu yaani.
 
Punguza hasira, hawa wadada ni kuwapeleka taratibu tu, we mtu anazaliwa mpaka anakuwa hajawahi shika sahani ya udongo!!!! Wengi wamefanana utabadilisha utachoka
unataka nifie kwenye vicoba shosti?
 
unataka nifie kwenye vicoba shosti?
Haha
Mie kuna kipindi vikombe vyoote vilikuwa havina mikono!!! Nikaanza kununua tena!!! Mara paaap hamna glass!!! Nilikomaje??? Saivi aaah keshazoea mwenyewe yuko makini kuliko mimi!
 
Haha
Mie kuna kipindi vikombe vyoote vilikuwa havina mikono!!! Nikaanza kununua tena!!! Mara paaap hamna glass!!! Nilikomaje??? Saivi aaah keshazoea mwenyewe yuko makini kuliko mimi!
mi vikombe nachukuaga yale makuuubwa hayo anashindwa kupasua ..ila glass ,sahani na bakuli havina bahati kabisa jamani daah .halafu nanunuaga mtumba basi kupata kingine kizuri kazi kweli
 
kiukweli nikutokujali tu nahic yani unakuta vikombe vyote havifai kupewa mgeni
 
Ndo maana nikasema hela utakayomkata unamwekea sehem. Ni kumtisha tu. Ili akae akijuw kuw akipasua analipa. Atakuw makini sana.
Hawa wadada huwa wanakuja na maroho ya uharibifu wengine uzinz
Uchawi chuma ulete na wengine wakishaingia tu ugomvi wa wana ndoa hauishi au kufukuzwa kazi. Mim mniliwahi pata huyo wa kuvunja vyombo nilimsaidia akabadilika nilimpeleka kwenye maombi akafunguliwa ni mapepo tu ya uharibifu na kukufanya mama uwe na hasira kila wakati. Amini hili msaidie.
 
Pole kwa kupasuliwa na vyombo hizo ni dalili mbaya za kukupasua moyo mkuu
 
Jamani hawa wasaidizi wetu wa ndani tunawapenda na tunawajali sana.ukienda kwa mtu hata kujua beki tatu ni yupi inakuwa shida maana tumewapendezesha hadi basi. hata wababa ndani hawajui mke ni yupi au beki tatu ni yupi kote mnapakua tu
Duh ni kweli hii??
 
Achana na house girl bana, wa nini kwanza? Vyombo tafuta dish washer, kufua tafuta kitu cha sympson 7kg autowash & drier, kupika iwe ni quick food like noodles au pasta; vacuum cleaner tafta auto robot unaiprogram kuosha floor mwezi mzima
 
Kupasua vyombo huo upepo karibia wanawake wote wanao,sio mahousegirl tu.Ni kuomba Mungu hilo lijini mufilisi lisikupitie maana utapasua hadi tv ukishamaliza kupasua screen za simu.
 
Back
Top Bottom