Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
tunawapa mkuu
Miss Natafuta siyo mama, bali ni mwanamke, maana hujazaa wala kuolewa. Kwenye post umeandika "wamama wenzangu". "Wanawake wenzangu" ingependeza zaidi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunawapa mkuu
Haha eti lilishatagwaVyombo vyako special ambavyo vina umuhimu kwako weka mbali aisee.
Utakuja kuumbuka kwenye special event huna chombo cha maana. Cutlery zote zimesuguliwa kwa steel wire, vikombe vyote na sahani vina ufa, chupa ya chai ndo unagundua haina hata yai. Lilishatagwa
mama sio lazima nizae mkuu.kuna watoto naleaMiss Natafuta siyo mama, bali ni mwanamke, maana hujazaa wala kuolewa. Kwenye post umeeandika "wamama wenzangu". "Wanawake wenzangu" ingependeza zaidi!
Vyombo vyako special ambavyo vina umuhimu kwako weka mbali aisee.
Utakuja kuumbuka kwenye special event huna chombo cha maana. Cutlery zote zimesuguliwa kwa steel wire, vikombe vyote na sahani vina ufa, chupa ya chai ndo unagundua haina hata yai. Lilishatagwa
Ahahahaaaaaaahaaaa halafu kaipanga kabatini hana hata habare.
usicheke kuna shosti wangu alifiwa halafu alikuwa hana hata miaka miwili toka aolewe .kipindi anaolewa alipewa mivyombo balaa .ila kwenye msiba yaani kila chombo ukigusa kina ufa .hadi aibu yaani.Ahahahaaaaaa
Punguza hasira, hawa wadada ni kuwapeleka taratibu tu, we mtu anazaliwa mpaka anakuwa hajawahi shika sahani ya udongo!!!! Wengi wamefanana utabadilisha utachokanimechoka.kesho atakuwa ubungo majogooo
Wale wanaodai kuwa siku hizi unatafuta kik kwa pikipiki siyo maadui??[emoji30][emoji30][emoji30]sina adui mkuu
unataka nifie kwenye vicoba shosti?Punguza hasira, hawa wadada ni kuwapeleka taratibu tu, we mtu anazaliwa mpaka anakuwa hajawahi shika sahani ya udongo!!!! Wengi wamefanana utabadilisha utachoka
kiki gani? kuwa na dada wa kazi wa kulipa elf 30-50 nayo kiki?Wale wanaodai kuwa siku hizi unatafuta kik kwa pikipiki siyo maadui??[emoji30][emoji30][emoji30]
Hahaunataka nifie kwenye vicoba shosti?
mi vikombe nachukuaga yale makuuubwa hayo anashindwa kupasua ..ila glass ,sahani na bakuli havina bahati kabisa jamani daah .halafu nanunuaga mtumba basi kupata kingine kizuri kazi kweliHaha
Mie kuna kipindi vikombe vyoote vilikuwa havina mikono!!! Nikaanza kununua tena!!! Mara paaap hamna glass!!! Nilikomaje??? Saivi aaah keshazoea mwenyewe yuko makini kuliko mimi!
ahaaaa uchungu wako wa kupasuliwa chombo unawazia mgeni tu kama mama yangu ahaaaakiukweli nikutokujali tu nahic yani unakuta vikombe vyote havifai kupewa mgeni
Hawa wadada huwa wanakuja na maroho ya uharibifu wengine uzinzNdo maana nikasema hela utakayomkata unamwekea sehem. Ni kumtisha tu. Ili akae akijuw kuw akipasua analipa. Atakuw makini sana.
Duh ni kweli hii??Jamani hawa wasaidizi wetu wa ndani tunawapenda na tunawajali sana.ukienda kwa mtu hata kujua beki tatu ni yupi inakuwa shida maana tumewapendezesha hadi basi. hata wababa ndani hawajui mke ni yupi au beki tatu ni yupi kote mnapakua tu
mama sio lazima nizae mkuu.kuna watoto nalea
Acha ubaguzi. Kwa hiyo kuitwa mama hadi uwe umeingia leba?Miss Natafuta siyo mama, bali ni mwanamke, maana hujazaa wala kuolewa. Kwenye post umeandika "wamama wenzangu". "Wanawake wenzangu" ingependeza zaidi!