Wadada wa kichaga na kihaya mnisamehe ktk hili!

Wewe mwongo umewasikia tu, hujui ukweli wa mambo, toa na sifa nzuri basi tuchangie
 
ukikua utajifunza kuleta mada zenye akili,nakupa another two years in JF....mwenyewe utajiona ulivyokuwa *****,

Nisubiri hapohapo tena nakuja na mfuko wangu tutandike kitandani kama wafanyavyo kwenye wodi za wagonjwa, isije tukapigwa faini ya uchafuzi na sidhani kama ntahitaji hata kuoga najua mvua ya kule mahala yatosha, mweeeeee!
 
lol? nani kakwambia hivo kaka??

Niliishi kule miaka ya 80 mwishoni enzi zile za ukimwi ulivyoshika kasi kule migombani. Ilikuwa kama sodoma na gomora, hakuna shemeji wala kaka.
 
hiv ukimuweka muhaya na mchaga wanamfikia mnyakyusa? we yaache maparachichi yaitwe maparachich
 
Upuuzi gani huu mnajadili hapa.
 
Kidudee, katika mwili wa binadamu kuna kiungo kinaitwa kidude?
Aisee, huu ni udhalilishaji wa kimwili na si kijinsi.
 
kama watafiti wengi wangekua ka ww cjui ka hata apple ingekuja kwa hii world loh! achilia mbali nguo,na vingine vingi loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…