Girlie Girlie
Member
- Feb 19, 2011
- 87
- 4
shindwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
this is character assassination
hata mi nashangaa,maanake ukiwaona walivyo kwa masaburi huwezi amini yanayoongelewa hapa.
kwani ndizi wanakula wachagga na wahaya tu?
Wameru pia wanakula ndizi sana tu pia... Huo utafiti wako mi inabidi nkae kimya.
Ndyoko, kwa Wahaya, kile kinavutwa vutwa vutwa tangu mtoto mdogo wa kike akishazaliwa!.haya tena narudi kama Mbwiga wa mbwiguke. Hivi ni kweli wadada wa kichaga na kihaya kuwa na maumbile yao hayo kisa ni sababu ya milima na ndizi? Fuatilia habari hii.
Kwamba wadada wa kichaga kuwa na maumbile makubwa hasa kuanzia sehemu ya kiunoni kwenda juu na makalio makubwa chanzo ni eti sababu ya kula sana ndizi na kupanda milima. Kwamba kwa kwa kuwa muda mwingi huishia kupanda milima huku wakiwa na mizigo kichwani na mikono yao ikiwa imeshikilia mizigo hiyo ili isianguke (kama mabaunsa wanavyonyanyua vitu vizito) basi imepelekea miili ya wadada wengi wa kule uchagani-acha kizazi cha kichaga.com kinachoenda uchagani wakati wa xmass pekee- kuwa na maumbile ya kibaunsa kuanzia kiunoni kwenda kichwani.
Na kwamba ndizi ndiyo chanzo kikuu cha wadada wengi wa kihaya na kichaga kuwa na 'makalio' makubwa. Eti chano kikubwa ni ndizi-kumbuka pia na wanyakyusa wako kwenye hili kundi. Jamaa mwingine akaenda zaidi akidai kwamba eti kwa wahaya ndizi zimepelekea wao kuwa na kitu kingine cha ziada kwamba kwa kuwa style ya upikaji ni tofauti na wachaga eti style yao ya upikaji ndizi imepelekea wao kuwa na 'kidude' kirefu zaidi na ndio maana wanapenda sana 'kuchapa mzigo' tofauti na wachaga. Kwamba kama wangekuwa wanapika ndizi kwa mtindo wa mtori zaidi kuliko matoke style kile kidude kingekuwa moderate kama wanawake wengine wa kichaga.
Jamani wadada wa kihaya na kichaga hebu mwagikeni hapa mtujuze ukweli wa hii kitu maana kimazingira ni kama kweli, hebu wenyewe angalieni Mbeya, Kilimanjaro na Bukoba!!!!!!!!!
Nawangojea galilaya!
hiv ukimuweka muhaya na mchaga wanamfikia mnyakyusa? we yaache maparachichi yaitwe maparachich
this is character assassination