Wadada wa kichaga na kihaya mnisamehe ktk hili!

kwani ndizi wanakula wachagga na wahaya tu?
Wameru pia wanakula ndizi sana tu pia... Huo utafiti wako mi inabidi nkae kimya.
 
Ndyoko, kwa Wahaya, kile kinavutwa vutwa vutwa tangu mtoto mdogo wa kike akishazaliwa!.

Kuna uhusiano fulani kati ya ndizi bukoba na zile za mbeya zina fanana na zinahusika pia na secretion ya excess lubricants katika zoezi, nadhani ndio makabila pekee wana squit!
 
Si mmeona eeeeh!!!!mie simo baadae mtagombana hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…