Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Siku wakijua kukata mauno kwa bed, na kutayarisha maandazi watafahamu..[emoji12][emoji12]Dada zangu wa kiachaga mkuje huku mpike chapatiView attachment 1127967
Mungu anakuona[emoji23][emoji23]Chapati zao sasa, sasa kama ule mkate wa kwenye movie ya Yesu!
Hahaha hahaha hahahaMungu anakuona[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanasema eti ukitaka kujua ugumu wa jiwe alilotumia daudi kumuua goliathi
Mpe mwanamke wa kichaga unga wa ngano akupikie maandazi...
Sio Mimi..ni msemo tu unaotrend uraiani
Ila mje wenyewe mthibitishe au mkanushe..
Shoga zangu wa kaakazini ya kweli haya?
These are my ancestors...respect to them!Dada zangu wa kiachaga mkuje huku mpike chapatiView attachment 1127967
HahahaaaDada zangu wa kiachaga mkuje huku mpike chapatiView attachment 1127967
Kiruuu..!!Em waacheni bas dada zangu wachagga asee..!!
Asa mbona wenyewe wapo kimya mkuu..hapana siamini[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1128048
Wachaga kwenye kupika na kitandani ni hovyo kabisa
Watafute wakupe ukweliAsa mbona wenyewe wapo kimya mkuu..hapana siamini
Maandazi yanawashinda?
Chapati zao sasa, kama ule mkate wa kwenye movie ya Yesu!
Watafute wakupe ukweli