Hahaha hahahaHahahaaaa duh
Hivi ni kweli au unawatania sakayo?
Kama una rafiki yako wa kichaga unamwita na kumuuliza kwa upole kabisa atakupa Siri tuHahaa mkuu nani wa kukiri ukweli wa kuumiza hivo..
wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
Skill za maendelea hawana? Mbona unachekesha watu...bado hujatembea klm wewewadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
Wachaga kwa maendelea ni wazuri kabisaWachaga kwenye kupika na kitandani ni hovyo kabisa
Ukienda huko wewe kula machalari, mtori nyama choma na ndizi chomawadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
Kama una rafiki yako wa kichaga unamwita na kumuuliza kwa upole kabisa atakupa Siri tu
Aliyeleta mada atuambie nae katokea mkoa gani dhen tujadili dada zake
Ndio baadhi ya vyakula sio vyote.Mwanamke mtu mzima akiri hajui kupika...??
Hahaha hahaha
Kwa nini niwatanie jamani... Zile chapati zao ni changamoto, ukikata yavunjika
Wanasema eti ukitaka kujua ugumu wa jiwe alilotumia daudi kumuua goliathi
Mpe mwanamke wa kichaga unga wa ngano akupikie maandazi...
Sio Mimi..ni msemo tu unaotrend uraiani
Ila mje wenyewe mthibitishe au mkanushe..
Shoga zangu wa kaakazini ya kweli haya?
Kinaitwa msetoKuna ile chakula wanachanganya mchele na maharage wanapika kwa pamoja aseeee ni hatari halafu si salama
Unajua namna ya kukipika / kukiandaa?Kinaitwa mseto
Unajua namna ya kukipika / kukiandaa?
Ha ha haaa nimekumbuka mbali kweli ila huwa zinakuwa tamu!Chapati zao sasa, kama ule mkate wa kwenye movie ya Yesu!