Wadada wa kichaga na upishi

Wadada wa kichaga na upishi

Status
Not open for further replies.
Hahahaa wanajua kutafuta pesa bana...
Maendeleo hawapo nyuma
wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
 
Skill za maendelea hawana? Mbona unachekesha watu...bado hujatembea klm wewe
 
Sio kweli
Wanasema eti ukitaka kujua ugumu wa jiwe alilotumia daudi kumuua goliathi
Mpe mwanamke wa kichaga unga wa ngano akupikie maandazi...

Sio Mimi..ni msemo tu unaotrend uraiani
Ila mje wenyewe mthibitishe au mkanushe..

Shoga zangu wa kaakazini ya kweli haya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom