Hongera sanaNdio
Hahaha hahaha hahahaHa ha haaa nimekumbuka mbali kweli ila huwa zinakuwa tamu!
Huyo wa kwanza💉💉💉 chuchuDada zangu wa kiachaga mkuje huku mpike chapatiView attachment 1127967
Utamu wake kilale halafu unywee na chai ya rangi! HutanyanyukaaKuna ile chakula wanachanganya mchele na maharage wanapika kwa pamoja aseeee ni hatari halafu si salama
WoooiiiiiiiUtamu wake kilale halafu unywee na chai ya rangi! Hutanyanyukaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woooiiiiiii
Ukianza mashoot sasa! ni hatariii
Kweli wapi wanawasingizia2 Dada zangu jamani.!!Mbona uku Chuga vyakula vyao viko yente tu!!labda Wachaga wa uko Kilimanjaro.Hahahaa..mi nataka kujua ya kweli hayo au wanaonewa..
wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
wewe acha tu, alafu kila moja ina chumvi ya kipeke yake!Hahaha hahaha hahaha
Sijui wanakwama wapi hawa majirani zangu!
Daaah!wewe acha tu, alafu kila moja ina chumvi ya kipeke yake!
Khaaaa! Hata wewe? Walikupokea Mamsera lakiniChapati zao sasa, kama ule mkate wa kwenye movie ya Yesu!
Inategemea ni mchaga wa wapiWachaga kwenye kupika na kitandani ni hovyo kabisa
haha hii dhambi ukatubuChapati zao sasa, kama ule mkate wa kwenye movie ya Yesu!
Wale sio wachaga bana mchepuko wanguKhaaaa! Hata wewe? Walikupokea Mamsera lakini
Kwake yeye maendeleo ni kukata viuno na kukarangiza vyapatiWe ndezi kweli. Una maendeleo gani. Kwani uliitwa uje moshi fala we
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha hii dhambi ukatubu
Mi kazi yangu ni kuwafikishia ujumbe wako tu. BaaaasWale sio wachaga bana mchepuko wangu
JamaniMi kazi yangu ni kuwafikishia ujumbe wako tu. Baaaas