Sasa nani mjanja hapo. Mwajiri au mwajiriwa? Kama anaweza kuajiri mpishi wa kizigua kwanini ateseke kuunguzwa na mafuta?Hawapiki wao huwa wanaajili wataalam wa hayo mambo,mambo yana wenyewe hayo ,suala la mchaga na mapishi wapi na wapi
HahahaSasa nani mjanja hapo. Mwajiri au mwajiriwa? Kama anaweza kuajiri mpishi wa kizigua kwanini ateseke kuunguzwa na mafuta?
Enzi za ubachela nishamkaribishaga manka mmoja gheto...alinikaangia sato kwa style ya pekee, samaki aliiva upande mmoja.
Umemtania mama yangu ujue... nimeumia sana.Hahahaa
Tunataniana tu babu...
[emoji4][emoji4]Hahaha hahaha hahaha
Wifi angu wa huko eeeh, nimekuelewa sana!
Umemtania mama yangu ujue... nimeumia sana.
Nikikumbuka mabumunda niliyokuwa namuibia enzi zangu... roho inauma sana. Bora hata ungemsingizia kwenye biriani... lakini andazi?? Jamani jamani jamani...
Nimekusamehe lakini sitakusahau
Hahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe sio mzima kabisaaa aki
wadada wa kichaga wamezidi,nimeenda Moshi na Arusha vyakula vibovu ila bei wanazotaja sasa utakimbia,... customer care yenyewe mbovu,hawa watu walijaliwa rangi tu lakini skills za kimaendeleo zero kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1128048
Maendeleo ni kitu kingine na kupika ni kitu kingine.Ninyi mnaojua kupika, mpo wapi kimaendeleo?
Yaani unamaanisha ule mkate usiotiwa chachu?Chapati zao sasa, kama ule mkate wa kwenye movie ya Yesu!
Hahaha hahaha hahahaYaani unamaanisha ule mkate usiotiwa chachu?
Hivi we sakayo sio chagga?Chapati zao sasa, kama ule mkate wa kwenye movie ya Yesu!
Mimi mchaga wa kule mpakani na romboHivi we sakayo sio chagga?
Umeona Sasa mlivyokuwa hampendi kuambiwa ukweli.Wewe mbu umrekebishe nani?
Yaani, kwa ushamba wenu ninyi vya saka hamna cha kuturekebisha.
Yaani kama umwambie mbwa amrekebishe ninadamu.
Mbwa ni mbwa tu, na mtabaki mambwa forever maana maana.
Sasa miguu inakujaje tena kwenye mada hii?Umeona Sasa mlivyokuwa hampendi kuambiwa ukweli.
Mm nimesema ukweli wangu ww unakuja kutukana badala ya kujibu kwa hoja.
Inabid mtu akisema kwamba mna miguu myembamba na imepinda ww either mtafute mlikosea wapi au uje na hoja ya msingi kukataa Hilo.
..wapi huko rafiki?Mimi mchaga wa kule mpakani na rombo
Mpakani na rombo rafiki!..wapi huko rafiki?
Panaitwaje rafiki?Mpakani na rombo rafiki!