Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Wanasema eti ukitaka kujua ugumu wa jiwe alilotumia daudi kumuua goliathi
Mpe mwanamke wa kichaga unga wa ngano akupikie maandazi...
Sio Mimi..ni msemo tu unaotrend uraiani
Ila mje wenyewe mthibitishe au mkanushe..
Shoga zangu wa kaakazini ya kweli haya?
Mpe mwanamke wa kichaga unga wa ngano akupikie maandazi...
Sio Mimi..ni msemo tu unaotrend uraiani
Ila mje wenyewe mthibitishe au mkanushe..
Shoga zangu wa kaakazini ya kweli haya?