Wadada wa kiganda ni wachapakazi sana

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,335
Reaction score
9,286
Kule unakuta pisi kama nandy au niffer anashusha tiles kwenye loly kawaida hiyo ni asubuhi hadi jion

Ila ukija bongo πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Kule unakuta pisi kama nandy au niffer anashusha tiles kwenye loly kawaida hiyo ni asubuhi hadi jion

Ila ukija bongo πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Tupiamo kapicha ka wadada wakali wakipiga mzigo!
 
Njoo hapa chuga uone wadada wanavyochapa kazi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…