mimi sio mkazi wa Dar.lakini mara nyingi kila nakifika jijini lazima nipitepite kwenye maeneo ya burudani kuosha macho si unajua tena mikoani vumbi sana.lakini mara nyingi nikienda pale kona bar huwa na duwaa sana nikiwaona wadada poa wa pale lakini pale kuna wadada wa wazuri huwezi amini wana mvuto ajabu.hivi wale kweli wanajiauza au matapeli.manake hata bei sijawai kuuliza.kama kuna wajanja wa pale mnipe maujanja jinsi ya kuwaingia manake naishiaga tu kula kwa macho.
hujanisaidia au na wewe mwenzangu na mie....
...kama kuna wajanja wa pale mnipe maujanja jinsi ya kuwaingia manake naishiaga tu kula kwa macho.
Pale ni mixa wanauza na kutapeli,ni wataalam sana wa kuwaibia wanaume,ukimchukua mkienda kula raha kwenye nyumba za kulala wageni,hakikisha humnyonyi chuchu na ukifunga mlango hakikisha unasogeza kitanda mlangoni,ili asije kutoroka na vitu vyako,UMENIPATA HAPO?
nimekupata vizuri lakini unamaanisha kitanda ndo komeo alafu nisinyonye chuchu.ukinyonya inakuaje na usipofunga kwa komeo ya kitanda inakuaje
Ukinyonya chuchu lazima uzimike mbaya,huwa wanapaka dawa za kulevya,kwenye mlango unafunga vizuri na komeo kisha unasogeza kitanda kuweka msisitizo wa lock.
mkuu asante kwa ufafanuzi lakini hawashirikiani kweli na vibaka wa pale manake mi maeneo ya pale sio mwenyeji kivile
Hivi hii bar iko mtaa gani??we chukua mmoja halafu tuletee feedback na sie wa kuja tukajaribu