idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
mimi sio mkazi wa Dar.lakini mara nyingi kila nakifika jijini lazima nipitepite kwenye maeneo ya burudani kuosha macho si unajua tena mikoani vumbi sana.lakini mara nyingi nikienda pale kona bar huwa na duwaa sana nikiwaona wadada poa wa pale lakini pale kuna wadada wa wazuri huwezi amini wana mvuto ajabu.hivi wale kweli wanajiauza au matapeli.manake hata bei sijawai kuuliza.kama kuna wajanja wa pale mnipe maujanja jinsi ya kuwaingia manake naishiaga tu kula kwa macho.