Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Selemani Sele

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
319
Reaction score
711
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.

Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.

Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.

Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.

Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.

Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.

Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
 
Aisee kuwa uyaone!
 
Tuna namba
 
Leta maelekezo kuna wanangu madomo zege
 
Pumbav 29 yrs u ajiita kijana mdogo! Ondoka kwa shemeji
 
Duh 3 times/week.
Oya vip ww boss ujapiga?
 
Kwahiyo wewe ni pimp, hujiskii vibaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…