Wadada wa massage sio watu wazuri kabisa

Ni kijana wa makamo mapaka 39 bado ni kijana wa makamo kuanzia 40 ndio unazungumzia mtu mzima
Kijana wa makamo yupo kwenye kundi la mtu mzima. Hilo neno makamo haliondoi utu uzima wake. Katika maisha kuna watoto na watu wazima ila unaweza kujiambia chochote ili kujifariji kuwa bado ni mdogo ndo mambo ya umakamo yanaingia.
 
Kijana wa makamo IPO tafuta kamusi
 
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.

Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.

Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.

Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.

Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.

Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.

Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
😁🤣🤣🤣 Wanabalaa
 
Kijana wa makamo IPO tafuta kamusi
Sijasema haipo ila katika sheria zetu za utambuzi kuna mtoto na mtu mzima hayo mengine yapo tu. Hata kwenye siasa mtu mwenye miaka 48 anaitwa kijana ila kwenye mpira miaka 30 ni mzee.
 
Miaka 30 inatagemea yupo wapi na anafanya nini ndio anakua Mzee hio sijakataa Ila miaka 29 ni kijana wa makamo
 
Nije PM nikuelekeze barbershop yangu kuna demu huyo wa message nilimtoa Katesh kipindi cha maporomoko ya matope. Kuna vijana wanafanya massage mara tatu kwa wiki maana nimeweka bei elekezi. Hilo toto liko sex Marehemu Masogange anasubiri na anakitombesha balaa

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Fungus na UTI vip mkuu?...
 
Miaka 30 inatagemea yupo wapi na anafanya nini ndio anakua Mzee hio sijakataa Ila miaka 29 ni kijana wa makamo
Unadhani ukijiita wa makamo sababu una 29 kuna jambo gani hutaweza kufanya ambalo mwenye miaka 39 anaweza?

Hujaelewa hoja yangu boss. Katika sheria zetu miaka 29 ni mtu mzima popote pale alipo.

Kama una miaka 29 halafu unaona bado ni kijana mdogo sababu ya malengo yako kwamba ukifika 45 ndo unakuwa mtu mzima ni sawa tu ili kujipa moyo kuwa muda upo wa kutimiza mipango yako ila wewe ni mtu mzima kisheria unaweza ingia mikataba, ukafanya biashara, ukapewa leseni na ukifanya jinai gereza sio la watu wa makamo ni la watu wazima.
 
kwahy we broo unawaza jeraa tu hv hujasoma saikolojia yakuwa usipo fungwa kwenye miaka 26 mpaka 35 hata ukifanyakosa juu ya umri huu una uhakika wa kuchomoka kwa %89
 
Zamani nilikuwa na uraibu sana wa hizi mambo! Nikipata mshahara kwa kuwa nilikuwa bachela basi chap kwa sana naingia zangu mita fulani navuta manzi inanifanyia masage matata sana kisha naikula halafu narudi magetoni maisha yanaendelea ila kwa sasa nimeachana na mtindo huu! Sitaki kabsa kusikia kuhusu hawa wadada ni majanga matupu!
 
Mimi kama kijana mdogo wa miaka 29 maana uzee uanza 45 years, napenda kupendeza sana na uhandsome wa mwanaume ni kunyoa.

Story inaanza nimeamka Jumamosi flani mapema nikaenda jumuiya na nikafanya majukumu binafsi, Nikaamua niende Sinza kunyoa sitataja saluni kuingia nikanyoa fresh.

Sasa kusubiri black ikauke kuna zile pisi kali za kuosha nywele toto white flani rangi ya mtume yaani cream ebony delavida mnaelewa nafikiri zimekaa kitaalamu.

Nikaingia kwenye zile room sasa wakati naoshwa nywele wakaanza kutekenya masikio nikasikia hutaki massage 50,000 tu tunamaliza kila kitu.

Kwa kweli wanajua kupandisha ashki za mwanaume na ukiwa legelege unaacha mtaji, cha kushukuru niliacha simu nyumbani nilikuwa na 20k tu.

Kusema ukweli hawa watu ni hatari, wana njia zote za kuiba hela yako wakati wanakuosha wanakuwa wamevaa blouse no brazia kwahiyo mtindi unaona wote so hauwezi kutoka salama na wana lipa kwa simu, mastercard yaani wapo kitaalamu Sinza ni hatari nyie.

Selemani sele.
Kijana mstaarabu.
Karibu mjini mkulima
 
Mileage ya 48 sio Sawa na 29, emu fikiria vizuri wewe unafananisha watu wawili tofauti
Kwanini? Kwamba ni nini mtu wa miaka 48 anaweza fanya wa 29 asiweze? Wakifanya jinai huyu wa 29 anakuwa na tofauti gani na 48?
 
kwahy we broo unawaza jeraa tu hv hujasoma saikolojia yakuwa usipo fungwa kwenye miaka 26 mpaka 35 hata ukifanyakosa juu ya umri huu una uhakika wa kuchomoka kwa %89
Jela ni mfano nimetoa kukuonyesha kuwa miaka 29 na 40 wote ni watu wazima.

Hivi unajua kuwa kuna watu wakiwa na miaka 25 waliweza kujenga, kuwa na usafiri na mambo mengine ya msingi ila leo wana miaka 35 hawawezi kufanya waliyoyafanya na miaka 25? Kwa hiyo kama suala ni muda wa kufanya maendeleo still si ishu.
 
Kwanini? Kwamba ni nini mtu wa miaka 48 anaweza fanya wa 29 asiweze? Wakifanya jinai huyu wa 29 anakuwa na tofauti gani na 48?
Aisee jichunguze vizuri, huchelewi kusema miaka 29 anaweza kufanya ya miaka 60 timkabidhi Nchi aongoze
 
Hujibu swali unakimbia kimbia boss. Ukiwa na miaka 35 huwezi pia sajiliwa timu ya mpira achilia mbali hilo la uraisi. Swali ni kuwa katika mapambano ya kawaida kwenye jamii, wewe mwenye miaka 29 ni kipi ambacho mwenye miaka 39 anaweza fanya wewe usiweze?
 
Back
Top Bottom