Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Lakini huyo mwanaume anaetoa 10m bila kuhakikisha ni za nn hazimo au kalogwa au labda km ameamua kutoa kwa moyo,haha...ila ukiwa mtu wa sifa utapigwa tu hakuna namna
Mahaba tu.. hela si ipo bwana
 
Haha,kaongeza 000 huyo,kwa typical mwajiriwa wa bongo kutoa mamilioni sio rahisi,labda mfanyabiashara
Inawezekana kabisa mkuu. Kwa sababu hakua na gari ila alivyokua nae akanunua magari mawili na mti hana kazi hela ya kununulia alitoa wapi sasa.
 
Ndio maana yake mnatakiwa kuhudumia hata 500 tu. Mwanaume anaetala slope ya k sio mwanaume. Mwanaume hata maji ya 500 hanunui wa kazi gani sasa. Ila kudai papuchi bingwa kabisa.
 
Ndio maana yake mnatakiwa kuhudumia hata 500 tu. Mwanaume anaetala slope ya k sio mwanaume. Mwanaume hata maji ya 500 hanunui wa kazi gani sasa. Ila kudai papuchi bingwa kabisa.

Ila kiukweli mwanamke ukiwa mafuta lazma kidume ugharamie zaidi . Ndio maana hivi vi ist ,runx, rave 4 na mengineyo wadada wanaendesha sana . Hata mimi Kuna mahali nilishawai kugharamia wacha kabisa ...ni Mungu ndio anajua. All in all nishaacha hzo biashara baada ya kumjua Mungu ....lol
 
Ma
Inawezekana kabisa mkuu. Kwa sababu hakua na gari ila alivyokua nae akanunua magari mawili na mti hana kazi hela ya kununulia alitoa wapi sasa.
Masponsor si wapo kibao...au mtu alimchukulia mkopo,ila may be inawezekana!yan 10m,gari hela za vocha 1m ni mbunge au CEO wa big company huyo
 
Nina imani huyo rafiki yako unayedai anapewa mijipesa mnatumbua nae pasipo kufanya chochote cha maendeleo mmeshibana na mnapendana. Je, umewahi kumshauri chochote cha maana juu ya matumizi ya pesa hizo anazochuma??? Na kama ulimshauri alilichukulia vipi shauri lako???
 
Hahahahahahaaa
 
Ma
Masponsor si wapo kibao...au mtu alimchukulia mkopo,ila may be inawezekana!yan 10m,gari hela za vocha 1m ni mbunge au CEO wa big company huyo
Alikuaga director of finance wa kampuni fulani
 
Nimeshamshauri na kumshauri ila mtu kanizidi na umri na haelewi nafanyaje sasa. Juzi juzi tu nilimpa ushauro amalizie frem moja wapo nje kwao ili afungue duka la bidhaa mbalimbali akasema hana hela wakati najua hela anayo kabisa ila tukatoka hapo tukaenda kutumbua Ramada ningefanyaje?.. sijawahi kuacha kumshauri ila yeye anataka aishi kwanza maendeleo baadae
 
Ooooh!
 
Wanawake wengi wa Tanzania wameamua rasmi kutumia kiungo chao cha uzazi kupiga pesa,,..hivi huyo jamaa aliyetoa 10m anajielewa kweli??,,au labda na yeye ni millionea!!
inawezekana mtoa thread kapigwa yeye ila Kaja kulalamika kidizaini
 
Mkuu umewavua nguo, mademu wa namna hii wapo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…