Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,847
- 2,768
Aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] aiseeeNywele nguo na gari..
Inawezekana kabisa mkuu. Kwa sababu hakua na gari ila alivyokua nae akanunua magari mawili na mti hana kazi hela ya kununulia alitoa wapi sasa.Haha,kaongeza 000 huyo,kwa typical mwajiriwa wa bongo kutoa mamilioni sio rahisi,labda mfanyabiashara
Ndio maana yake mnatakiwa kuhudumia hata 500 tu. Mwanaume anaetala slope ya k sio mwanaume. Mwanaume hata maji ya 500 hanunui wa kazi gani sasa. Ila kudai papuchi bingwa kabisa.Mbona hayo ni mambo ya kawaida sana kwa wanaume Mzigua90 .
Almost wanaume wengi sana tunaingizwa town ingawa kiasi kinatofautiana kutokana na uwezo wa mtu .
Lakini asikuambie mtu hata mwanaume ambaye hana kitu ana namna yake tuu ya kugharamika ili tuu aweze kupata papuchii.
Ndio maana yake mnatakiwa kuhudumia hata 500 tu. Mwanaume anaetala slope ya k sio mwanaume. Mwanaume hata maji ya 500 hanunui wa kazi gani sasa. Ila kudai papuchi bingwa kabisa.
Masponsor si wapo kibao...au mtu alimchukulia mkopo,ila may be inawezekana!yan 10m,gari hela za vocha 1m ni mbunge au CEO wa big company huyoInawezekana kabisa mkuu. Kwa sababu hakua na gari ila alivyokua nae akanunua magari mawili na mti hana kazi hela ya kununulia alitoa wapi sasa.
HahahahahahaaaIla kiukweli mwanamke ukiwa mafuta lazma kidume ugharamie zaidi . Ndio maana hivi vi ist ,runx, rave 4 na mengineyo wadada wanaendesha sana . Hata mimi Kuna mahali nilishawai kugharamia wacha kabisa ...ni Mungu ndio anajua. All in all nishaacha hzo biashara baada ya kumjua Mungu ....lol
Nimeshamshauri na kumshauri ila mtu kanizidi na umri na haelewi nafanyaje sasa. Juzi juzi tu nilimpa ushauro amalizie frem moja wapo nje kwao ili afungue duka la bidhaa mbalimbali akasema hana hela wakati najua hela anayo kabisa ila tukatoka hapo tukaenda kutumbua Ramada ningefanyaje?.. sijawahi kuacha kumshauri ila yeye anataka aishi kwanza maendeleo baadaeNina imani huyo rafiki yako unayedai anapewa mijipesa mnatumbua nae pasipo kufanya chochote cha maendeleo mmeshibana na mnapendana. Je, umewahi kumshauri chochote cha maana juu ya matumizi ya pesa hizo anazochuma??? Na kama ulimshauri alilichukulia vipi shauri lako???
Ooooh!Nimeshamshauri na kumshauri ila mtu kanizidi na umri na haelewi nafanyaje sasa. Juzi juzi tu nilimpa ushauro amalizie frem moja wapo nje kwao ili afungue duka la bidhaa mbalimbali akasema hana hela wakati najua hela anayo kabisa ila tukatoka hapo tukaenda kutumbua Ramada ningefanyaje?.. sijawahi kuacha kumshauri ila yeye anataka aishi kwanza maendeleo baadae
inawezekana mtoa thread kapigwa yeye ila Kaja kulalamika kidizainiWanawake wengi wa Tanzania wameamua rasmi kutumia kiungo chao cha uzazi kupiga pesa,,..hivi huyo jamaa aliyetoa 10m anajielewa kweli??,,au labda na yeye ni millionea!!
Mkuu umewavua nguo, mademu wa namna hii wapo sanaHii tabia ya kina sisi kuongeza 000 kwenye gharama ya kitu naona imekua fasheni sasa hivi. Mtu kanunua kibanio elfu 10 atakwambia kanunua laki. Kuna mafuta nilimkuta nayo rafiki yangu nikayapenda nikamuuliza umenunua shilingi ngapi akaniambia kanunua 120,000 nikabaki kutoa macho maana hiyo hela sina. Siku Nikapita Kkoo nikakuta same same mafuta yanauzwa 7000 nikajua hapo alitaka kuniringishia anapaka mafuta ya gharama.
Mwingine alinunua gauni 8000 akaulizwa akasema kanunua Mwenge 50000 wakati alikua saluni ikapitishwa 8000 tu akanunua.
Na hii tabia nyingine ya kujiwekea asset mdomoni ili mtu aonekane matawi. Mimi kama sina nasema sina wala sivungi na sioni aibu. Sasa rafiki yangu mmoja kuna siku akawa ananilecture eti nikikutana na mwanaume mwenye hela ili kumlia hela zake nimdangamye nina miradi anisaidie hela.
Kwa mfano akasema nimwambie nina kiwanja bagamoyo anisaidie kujenga nikamwambia mi siwezi uongo ntadakwa tu maana nitajisahau siku.
Kina kaka hawa slay queens wengi mnaowana hata pa kuishi hawanaga wanakaa kwa mashoga ila ukimuona anavyoringa sababu anataka umuone wa gharama umpe pesa nyingi.
Wanaazimaga magari waje nayo kwenye outing ili ukimuona umpe pesa ya mafuta sio nauli ya uber au bajaj.
Kuna kesi niliisikiliza mwanamke alimdanganya mwanaume ana mashamba ya mpunga na amefungua machine ya kusaga na kukoboa kwahiyo amsaidie kiasi kidogo aongeze kununua machine. Yule kaka alimpa 10M baby wake zimsogeze kwenye biashara. Akaja akamwambia gari yake imekwama amsaidie hela aongezee atoe gari kaka akatoa akijua gf wake ana akili ya maisha pale anamsaidia kwa ajili yao. Kumbe alikua hajui zile hela akizitoa wenzie tunaenda zetu brunch Hyatt kuzitumbua pesa za shemeji.
Ila alikua anavyomuona kwanza anajulikana. Anavaa vizuri utasema nani sijui. Nywele za gharama tupu. Duka analoenda ni JM Virgo. Anaishi maisha ya juu kuliko hata uhalisia wake. Ila wanaume wakiona wanapapatika wanampa hela maana wanapigwa fix dada ni self made millionaire wanaingia king kumbe wakitoa anaenda kuvaa apendeze apatikane mwingine ahudumie.
Siku hizi kila mwanamke unaekutana nae atakwambia mwanafunzi mara mfanyabiashara ili tu akuvuteni maana nyie si ndo mnajitia mnapenda hayo kaka zangu kumbe mtu hasomi wala nini anauza k mjini aishi.
NA KINA SISI TUACHE KUONGEZA NAMBA MTU AKITAKA KUKUPA ATAKUPA TU.