Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Kuna mmoja alishawahi kuniambia wasiopendwa ndio wanapigwa mzinga mrefu,na ukichanganya unapigwa kwelikweli!mm nimpendaye na anayeonesha kujali ata M kadhaa natoa tu
Wakati mwingine unampiga ndefu kumkufuza. Mwanamke akikupenda akiona unatumia zaidi ya uwezo wako atakumind. Ila kama hakupendi baba hata ukawe jambazi hatajali
 
Nafahamu ndio maana natembea kichwa chini hivi unafikiri huo mguu nikiuangalia na akili ikijituma nitakua salama kweli ? ila Mhh upo vizuri
 

Sorry mdau naomba namba zake kiongozi nitumie PM.
 
Daily mizinga miingii
Hii sasa imezidi, hata kama mwana sina dhiki.
Shopping kila wiki.

Mara oooh! Songa nataka unijengee ghorofa
Kama hauwezi tafuta hata bodi ya kuikopa
Si unajua uswahilini, mwenzako mi naogopa
Juzi wamevunja mlango wamesepa na zile sofa
Isitoshe kuna wachawi, usiku mi na wota
Yaani ikishindikana tafuta hata mjengo Posta
Daah!! Mchizi nabaki nachoka.

S.O.N.GA- Kikosi cha Mizinga.
 
Ni kweli kabisa Aunty ila huku kwetu ni tofauti iko hapa madada wa huku ukimiliki usafiri tu iwe motorbike ama gari basi wew utajiopolea madem wazur wazur pia maadili kidogo yanachangia na hali ya umaskini ila ukikuta mtoto Alieridhika kwao bas mambo kma hayo hua hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…