Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Kuna mmoja alishawahi kuniambia wasiopendwa ndio wanapigwa mzinga mrefu,na ukichanganya unapigwa kwelikweli!mm nimpendaye na anayeonesha kujali ata M kadhaa natoa tu
Wakati mwingine unampiga ndefu kumkufuza. Mwanamke akikupenda akiona unatumia zaidi ya uwezo wako atakumind. Ila kama hakupendi baba hata ukawe jambazi hatajali
 
Nafahamu ndio maana natembea kichwa chini hivi unafikiri huo mguu nikiuangalia na akili ikijituma nitakua salama kweli ? ila Mhh upo vizuri
 
Ee bwana eee hii kitu kweli kabisa. Juzi Kati nimekutana na binti mrembo maeneo ya kibo tegeta akanichangamkia kweli kweli. Fasta nikamsemesha Mara puu akanipatia namba. Kabla sijaondoka akanambia samahani Kaka nilikuja kwa rafki angu kuchukua hela ya ada sijampata unaweza nisaidia?
Nikamuuliza unasoma kidato Cha Ngapi akajibu kidato cha sita nikashtuka manake muonekano wake na kidato Cha sita ni differ kabisa.
Nikasema huyu ananjaa anatka anipige mchana kweupe Sasa ngoja nimeonesha kuwa Mimi ni born town...then nikamwambia twaweza kwenda home. Akajibu ndiyo.
Kistarahabu kabisa tukadaka bajaji...aiseee kufika home demu kachanganyikiwa manake niliishaplan strategy...nikaanda msosi wa nguvu tukala
Mara wine hiyo....tukashushia kukaa kidogo nikamwambia kajimwagie maji ili unywe wine vizuri. Kasema haya beby. Baada ya kumaliza kuonga kapiga glas Kama mbili ivi hoi akaanza kuita beby plz naomba unikiss...mara paa kitu hicho nilimpa vidonge vya hatari.
Tulipo maliza Mambo fulani mida ya saa kumi na mbili ivi nikamsindikiza. Nikamwambia kesho tukutane then nimtoe pesa ya ada.
Hawa viumbe ni waongo balaa...hii kitu nilifanya kwakuwa huyu alionenaka tapeli wazi wazi. Ila nikawa mjanja nikamtapeli Mimi.....!!

Sorry mdau naomba namba zake kiongozi nitumie PM.
 
Daily mizinga miingii
Hii sasa imezidi, hata kama mwana sina dhiki.
Shopping kila wiki.

Mara oooh! Songa nataka unijengee ghorofa
Kama hauwezi tafuta hata bodi ya kuikopa
Si unajua uswahilini, mwenzako mi naogopa
Juzi wamevunja mlango wamesepa na zile sofa
Isitoshe kuna wachawi, usiku mi na wota
Yaani ikishindikana tafuta hata mjengo Posta
Daah!! Mchizi nabaki nachoka.

S.O.N.GA- Kikosi cha Mizinga.
 
Hii tabia ya kina sisi kuongeza 000 kwenye gharama ya kitu naona imekua fasheni sasa hivi. Mtu kanunua kibanio elfu 10 atakwambia kanunua laki. Kuna mafuta nilimkuta nayo rafiki yangu nikayapenda nikamuuliza umenunua shilingi ngapi akaniambia kanunua 120,000 nikabaki kutoa macho maana hiyo hela sina. Siku Nikapita Kkoo nikakuta same same mafuta yanauzwa 7000 nikajua hapo alitaka kuniringishia anapaka mafuta ya gharama.

Mwingine alinunua gauni 8000 akaulizwa akasema kanunua Mwenge 50000 wakati alikua saluni ikapitishwa 8000 tu akanunua.

Na hii tabia nyingine ya kujiwekea asset mdomoni ili mtu aonekane matawi. Mimi kama sina nasema sina wala sivungi na sioni aibu. Sasa rafiki yangu mmoja kuna siku akawa ananilecture eti nikikutana na mwanaume mwenye hela ili kumlia hela zake nimdangamye nina miradi anisaidie hela.
Kwa mfano akasema nimwambie nina kiwanja bagamoyo anisaidie kujenga nikamwambia mi siwezi uongo ntadakwa tu maana nitajisahau siku.

Kina kaka hawa slay queens wengi mnaowana hata pa kuishi hawanaga wanakaa kwa mashoga ila ukimuona anavyoringa sababu anataka umuone wa gharama umpe pesa nyingi.

Wanaazimaga magari waje nayo kwenye outing ili ukimuona umpe pesa ya mafuta sio nauli ya uber au bajaj.

Kuna kesi niliisikiliza mwanamke alimdanganya mwanaume ana mashamba ya mpunga na amefungua machine ya kusaga na kukoboa kwahiyo amsaidie kiasi kidogo aongeze kununua machine. Yule kaka alimpa 10M baby wake zimsogeze kwenye biashara. Akaja akamwambia gari yake imekwama amsaidie hela aongezee atoe gari kaka akatoa akijua gf wake ana akili ya maisha pale anamsaidia kwa ajili yao. Kumbe alikua hajui zile hela akizitoa wenzie tunaenda zetu brunch Hyatt kuzitumbua pesa za shemeji.

Ila alikua anavyomuona kwanza anajulikana. Anavaa vizuri utasema nani sijui. Nywele za gharama tupu. Duka analoenda ni JM Virgo. Anaishi maisha ya juu kuliko hata uhalisia wake. Ila wanaume wakiona wanapapatika wanampa hela maana wanapigwa fix dada ni self made millionaire wanaingia king kumbe wakitoa anaenda kuvaa apendeze apatikane mwingine ahudumie.

Siku hizi kila mwanamke unaekutana nae atakwambia mwanafunzi mara mfanyabiashara ili tu akuvuteni maana nyie si ndo mnajitia mnapenda hayo kaka zangu kumbe mtu hasomi wala nini anauza k mjini aishi.

NA KINA SISI TUACHE KUONGEZA NAMBA MTU AKITAKA KUKUPA ATAKUPA TU.
Ni kweli kabisa Aunty ila huku kwetu ni tofauti iko hapa madada wa huku ukimiliki usafiri tu iwe motorbike ama gari basi wew utajiopolea madem wazur wazur pia maadili kidogo yanachangia na hali ya umaskini ila ukikuta mtoto Alieridhika kwao bas mambo kma hayo hua hawana.
 
Back
Top Bottom