Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Maisha magumu mtuelewe
 
Huyo nae ni fala tu,hawa ni wa kuhonga kidogo dogo ukimuona yuko money oriented unamkula mara mbili kisha unasepa...
Kama huna na hujapenda ukae ufanye nini? wanaotoa ni wenzenu wenye hela zao na wanawapenda mabeb zao.
 
Kabisa ila inakua sio lengo hatuwezi kushindana na tulipotoka bora utafte amabe mnahisi unaweza kuplan na yey jambo na mkafanikiwa sio japokua mungu ndo mpangaji ndoa ila leo huyu kesho yule hio sio maisha.
Sasa kama huyo anakuambia ana nyumba ana biashara na ukimuona unaona hela kweli kama mtu unaependa maendeleo ndo unampa kumbe mwenzio anakula
 
slay queens hawaa dawa yao hipo jikoni wanajifanya open mind sana vimiradi kibao na vimipango vya hapa na pale....uzuri kwang wanaishiaga kusema"baki na hamu zako!!"[emoji23][emoji23]
Undercover hayo ni ya kweli. Na bila aibu hata ukiwafuma na mbinu zao chafu. Wanakataa kata kata bila aibu.

Mm nilimfuma mmoja na bwana mwingine. Ukimuona uatasema bonge la demu kumbe anaishi vingunguti.. tena uswazi halafkwao.

Mpaka leo haamini kama nilimkamata.. [emoji6]
 
Wanawake wengi wa Tanzania wameamua rasmi kutumia kiungo chao cha uzazi kupiga pesa,,..hivi huyo jamaa aliyetoa 10m anajielewa kweli??,,au labda na yeye ni millionea!!
Labda ana uwezo ila kwa maxingira ya kawaida. Kumpa demu laki ni shughuli
 
Ndio hao hao. Wametofautiana majina
 
Wakipata mabwana mbio kupanga apartment huu ulimbukeni au mie mshamba
Niulimbukeni wa hali yajuu badala hiyo kodi ya kupanga nyumba nzima uibane bane baada ya mwaka au miaka miwili unapata kiwanja
 
Maisha magumu mtuelewe
Kiukweli mimi binafsi nilishaga kubali kitambo tu kuwa mahusiano kibongo bongo yanajengwa kwa misingi ya material things hasa pesa wala sio hisia na mwanaume ndio mtoaji.

Sasa issue inakuja pale mmoja wenu anapokuwa sio mwaminifu na kuleta utapeli ndani ya mahusiano hayo hasa nyie mademu ndio mmekuwa matapeli sana. Unaanzisha mahusiano na binti ndani ya wiki moja tu ameshakupiga mizinga buku na kidogo, kwakuwa ndio jinsi mahusiono yenu yanavyoenda basi na wewe unaamua kujikakamua tu kwa kumtumia vijisenti kadri ya uwezo wako..

Sasa kimbembe kinakuja pale unapofika muda wa yeye kutoa alichonacho(UCHI), unampigia simu njoo unitembelee geto mara anaanza kutoa vijisababu vya uongo uongo tu, unamvumilia siku ya kwanza kwa kukubali vijisababu vyake.... mara ya pili napo ukimuomba date analeta vijisababu vile vile japo atakuwa amevi twist kidogo, na wakati huo anaendelea kukupiga mizinga kama kawaida.

Akiona unakomaa sana kumwita geto na wakati huo ameshakula vyako vya kutosha unakula block engo zote za mawasiliano na huo ndio unakuwa mwisho wako... MADEMU wengi wamekuwa ma opportunists na matapeli wakubwa wasiopenda kuliwa isipokuwa kufaidi vya watu tu
 
Uliniona mie slay queen?? Sema hata ukiniona live utajua na mie slay queen kumbe walaaa. Wanaonionaga kwa mbali wananionaga huyu dada hagusiki kumbe wala sinaga makuu
Unatoa siri zako sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…