Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha magumu mtueleweMbali na siasa pamoja upastor(pastorprenuer) biashara nyingine yenye malipo mazuri nchii hii hasa ukilinganisha na hali ya uchumi ya sasa ni MAHUSIANO(udangaji), yaan mademu sasa hivi hawajali afya zao hata kama anajua unao wengine kumi yeye twende kazi mradi anapata chambi.
Sasa kama huyo anakuambia ana nyumba ana biashara na ukimuona unaona hela kweli kama mtu unaependa maendeleo ndo unampa kumbe mwenzio anakulaKabisa ila inakua sio lengo hatuwezi kushindana na tulipotoka bora utafte amabe mnahisi unaweza kuplan na yey jambo na mkafanikiwa sio japokua mungu ndo mpangaji ndoa ila leo huyu kesho yule hio sio maisha.
Undercover hayo ni ya kweli. Na bila aibu hata ukiwafuma na mbinu zao chafu. Wanakataa kata kata bila aibu.slay queens hawaa dawa yao hipo jikoni wanajifanya open mind sana vimiradi kibao na vimipango vya hapa na pale....uzuri kwang wanaishiaga kusema"baki na hamu zako!!"[emoji23][emoji23]
Labda ana uwezo ila kwa maxingira ya kawaida. Kumpa demu laki ni shughuliWanawake wengi wa Tanzania wameamua rasmi kutumia kiungo chao cha uzazi kupiga pesa,,..hivi huyo jamaa aliyetoa 10m anajielewa kweli??,,au labda na yeye ni millionea!!
Ndio hao hao. Wametofautiana majinaNa kuna tofouti kati ya hawa slay queens na wadangaji?
Kama zipo naomba unipe maana kuna mchepuko wangu mmoja kanisave buu Hela baada ya kuangalia kwenye simu yake niliamua kukata mahitaji yote kuanzia wiki iliyopita.....
Nahisi atakuwa ni miongoni mwa hao wawili?
Waneguswa pabayaNaona huu uzi wanawake hawachangii kabisa au hawauoni
Niulimbukeni wa hali yajuu badala hiyo kodi ya kupanga nyumba nzima uibane bane baada ya mwaka au miaka miwili unapata kiwanjaWakipata mabwana mbio kupanga apartment huu ulimbukeni au mie mshamba
Kiukweli mimi binafsi nilishaga kubali kitambo tu kuwa mahusiano kibongo bongo yanajengwa kwa misingi ya material things hasa pesa wala sio hisia na mwanaume ndio mtoaji.Maisha magumu mtuelewe
Kweli aunty sababu hata kwenye maandiko ishasemwa hakika vitimbi vya wanawake ni vikubwa mnoooo.Sasa kama huyo anakuambia ana nyumba ana biashara na ukimuona unaona hela kweli kama mtu unaependa maendeleo ndo unampa kumbe mwenzio anakula
Unatoa siri zako sasa!!Uliniona mie slay queen?? Sema hata ukiniona live utajua na mie slay queen kumbe walaaa. Wanaonionaga kwa mbali wananionaga huyu dada hagusiki kumbe wala sinaga makuu