Unataka nife na Typhoid mkuu. Maji ya DAWASCO ni hatari kwa tumbo. Basi ntumie hiyo 700 kabisa maana 500 alishatuma nikanywe maji.Naongezea mia saba ... Sikwasababu ndo uwezo wetu bali kwasababu leo unapaswa unywe maji ya kutosha tena haya ya KLM ndio pure, yatakapoingia mwilin mwako tu, yatasaidia kuurudisha ubongo wako katika hali changamfu kwakua leo umeumiza Bongo !!
Yasipotosha,, niambie nikuchotee maji ya Dawasco hapa dumu zima nikuletee.
Wanakua wanatamani mahusiano yalast ila ndo vile shida ziko mbele zaidi hamna jinsi zaidi ya kudanganya tu.Great... wewe ndo upo kundi la wale wanaoitwa 'wife material'. Indeed I see maturity, busara na hekima kwenye hoja zako.
Nadhani hao wanaodanganya wanakuwa na watu ambao ni wa kupita hawana mpango nao mbele ya safari, kwa hiyo siku wakigundua wanadanganywa ndo itakuwa mwisho wa mahusiano yao.
[emoji16] [emoji16]Sawa, Ongeza tu hakuna shiDa, nao wakitaka uwaongezee access ya tiGo Love it | Live it. Usiwe mtata
Danga ndio nini hii white....Hawapishani sanaaa sema we utakua danga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nishaachana nao siku nyingi unaonaje tuungane tufanye maisha mpendwaHapo napoo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Wenyewe wanakuaga kurudi nyuma.
Sasa wengine wanajua kabisa wanapigwa hiyo bei ila wanataka sifa sababu wameenda dukani kwa dadake DiamondKuna mwingine anaitwa Esma diamond,Kule insta,,eti lotion ya kuuza elfu kumi,yeye anaongeza laki mzima,
Ukiangalie wala haina cha maana,carot lotion,alovera lotion,avocado etc
Sasa si bora niponde ponde hizo carot nijipake kuliko kuingia gharama yote hiyo,wakati maduka ya mitaani bei chini
Sijala mpaka muda huu nawaza nikinywa maji njaa itazidi. Nilitaka kufunga leo ila kwa hali niliyo nayo inabidi nikale tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Kuna mwingine anaitwa Esma diamond,Kule insta,,eti lotion ya kuuza elfu kumi,yeye anaongeza laki mzima,
Ukiangalie wala haina cha maana,carot lotion,alovera lotion,avocado etc
Sasa si bora niponde ponde hizo carot nijipake kuliko kuingia gharama yote hiyo,wakati maduka ya mitaani bei chini
Hivi umeelewa nilichokiandika hapo?