Sasa mtu unaomba hela ukajenge unapewa hela ya maana hata kiwanja unashindwa nunua si ujinga huo? Si bora usubiri utakayopewa ambayo hutaulizwa imeishaje mbona ilikua inatoshea shida zako [emoji23][emoji23][emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vibomu vya wanafunzi vimekushinda
Uliniona mie slay queen?? Sema hata ukiniona live utajua na mie slay queen kumbe walaaa. Wanaonionaga kwa mbali wananionaga huyu dada hagusiki kumbe wala sinaga makuu
Sina zile swagga za slay queens sema si unajua ukionekana na watu fulani fulani ndo unawekwa rank hizo ndo kinachonikumba mimi. Kubeba pochi zai wananiona niko kama wao [emoji4][emoji23][emoji23]Mkuu bila picha hayo maelezo ni unyanyasaji.
Yani hata akupe elfu 2 moyo unalipuka kwa furaha. Tusiowapenda tunakulaga hela za kwa mawazo kweli hasa tukiwaza muda wa kulipa itakuaje
Hivi lakini Mzigua90 unajua hufanyi poa kuyaeleza haya ya mwenzako hapa.Kuna watu wanajua kugharamia haswaaa. Kama huyo shemeji yangu alikua kutumia million kwa siku wakionana na beb wake wala sio shida. Kwanza makutano yao ni hotelin. Wakiachana na babe anampa kuanzia million moja. Siku akimpa laki 5 shoga atalalamika hatari mapenzi yamepungua anapewa kidogo. Bado anampa hela ya matumizi ya home laki 5 kila mwezi. Sema hizi ni kutokana na story zake so inawezekana alikua anaongeza 000 maana ni bingwa
Serious njoo pm tuyajengeSema kweli??
Kuna watu wanajua kugharamia haswaaa. Kama huyo shemeji yangu alikua kutumia million kwa siku wakionana na beb wake wala sio shida. Kwanza makutano yao ni hotelin. Wakiachana na babe anampa kuanzia million moja. Siku akimpa laki 5 shoga atalalamika hatari mapenzi yamepungua anapewa kidogo. Bado anampa hela ya matumizi ya home laki 5 kila mwezi. Sema hizi ni kutokana na story zake so inawezekana alikua anaongeza 000 maana ni bingwa
Kama hii story ni kweli basi kuna ugumu uliopitiliza wa Maisha.Ee bwana eee hii kitu kweli kabisa. Juzi Kati nimekutana na binti mrembo maeneo ya kibo tegeta akanichangamkia kweli kweli. Fasta nikamsemesha Mara puu akanipatia namba. Kabla sijaondoka akanambia samahani Kaka nilikuja kwa rafki angu kuchukua hela ya ada sijampata unaweza nisaidia?
Nikamuuliza unasoma kidato Cha Ngapi akajibu kidato cha sita nikashtuka manake muonekano wake na kidato Cha sita ni differ kabisa.
Nikasema huyu ananjaa anatka anipige mchana kweupe Sasa ngoja nimeonesha kuwa Mimi ni born town...then nikamwambia twaweza kwenda home. Akajibu ndiyo.
Kistarahabu kabisa tukadaka bajaji...aiseee kufika home demu kachanganyikiwa manake niliishaplan strategy...nikaanda msosi wa nguvu tukala
Mara wine hiyo....tukashushia kukaa kidogo nikamwambia kajimwagie maji ili unywe wine vizuri. Kasema haya beby. Baada ya kumaliza kuonga kapiga glas Kama mbili ivi hoi akaanza kuita beby plz naomba unikiss...mara paa kitu hicho nilimpa vidonge vya hatari.
Tulipo maliza Mambo fulani mida ya saa kumi na mbili ivi nikamsindikiza. Nikamwambia kesho tukutane then nimtoe pesa ya ada.
Hawa viumbe ni waongo balaa...hii kitu nilifanya kwakuwa huyu alionenaka tapeli wazi wazi. Ila nikawa mjanja nikamtapeli Mimi.....!!
NaombaHii tabia ya kina sisi kuongeza 000 kwenye gharama ya kitu naona imekua fasheni sasa hivi. Mtu kanunua kibanio elfu 10 atakwambia kanunua laki. Kuna mafuta nilimkuta nayo rafiki yangu nikayapenda nikamuuliza umenunua shilingi ngapi akaniambia kanunua 120,000 nikabaki kutoa macho maana hiyo hela sina. Siku Nikapita Kkoo nikakuta same same mafuta yanauzwa 7000 nikajua hapo alitaka kuniringishia anapaka mafuta ya gharama.
Mwingine alinunua gauni 8000 akaulizwa akasema kanunua Mwenge 50000 wakati alikua saluni ikapitishwa 8000 tu akanunua.
Na hii tabia nyingine ya kujiwekea asset mdomoni ili mtu aonekane matawi. Mimi kama sina nasema sina wala sivungi na sioni aibu. Sasa rafiki yangu mmoja kuna siku akawa ananilecture eti nikikutana na mwanaume mwenye hela ili kumlia hela zake nimdangamye nina miradi anisaidie hela.
Kwa mfano akasema nimwambie nina kiwanja bagamoyo anisaidie kujenga nikamwambia mi siwezi uongo ntadakwa tu maana nitajisahau siku.
Kina kaka hawa slay queens wengi mnaowana hata pa kuishi hawanaga wanakaa kwa mashoga ila ukimuona anavyoringa sababu anataka umuone wa gharama umpe pesa nyingi.
Wanaazimaga magari waje nayo kwenye outing ili ukimuona umpe pesa ya mafuta sio nauli ya uber au bajaj.
Kuna kesi niliisikiliza mwanamke alimdanganya mwanaume ana mashamba ya mpunga na amefungua machine ya kusaga na kukoboa kwahiyo amsaidie kiasi kidogo aongeze kununua machine. Yule kaka alimpa 10M baby wake zimsogeze kwenye biashara. Akaja akamwambia gari yake imekwama amsaidie hela aongezee atoe gari kaka akatoa akijua gf wake ana akili ya maisha pale anamsaidia kwa ajili yao. Kumbe alikua hajui zile hela akizitoa wenzie tunaenda zetu brunch Hyatt kuzitumbua pesa za shemeji.
Ila alikua anavyomuona kwanza anajulikana. Anavaa vizuri utasema nani sijui. Nywele za gharama tupu. Duka analoenda ni JM Virgo. Anaishi maisha ya juu kuliko hata uhalisia wake. Ila wanaume wakiona wanapapatika wanampa hela maana wanapigwa fix dada ni self made millionaire wanaingia king kumbe wakitoa anaenda kuvaa apendeze apatikane mwingine ahudumie.
Siku hizi kila mwanamke unaekutana nae atakwambia mwanafunzi mara mfanyabiashara ili tu akuvuteni maana nyie si ndo mnajitia mnapenda hayo kaka zangu kumbe mtu hasomi wala nini anauza k mjini aishi.
NA KINA SISI TUACHE KUONGEZA NAMBA MTU AKITAKA KUKUPA ATAKUPA TU.
Hii tabia ya kina sisi kuongeza 000 kwenye gharama ya kitu naona imekua fasheni sasa hivi. Mtu kanunua kibanio elfu 10 atakwambia kanunua laki. Kuna mafuta nilimkuta nayo rafiki yangu nikayapenda nikamuuliza umenunua shilingi ngapi akaniambia kanunua 120,000 nikabaki kutoa macho maana hiyo hela sina. Siku Nikapita Kkoo nikakuta same same mafuta yanauzwa 7000 nikajua hapo alitaka kuniringishia anapaka mafuta ya gharama.
Mwingine alinunua gauni 8000 akaulizwa akasema kanunua Mwenge 50000 wakati alikua saluni ikapitishwa 8000 tu akanunua.
Na hii tabia nyingine ya kujiwekea asset mdomoni ili mtu aonekane matawi. Mimi kama sina nasema sina wala sivungi na sioni aibu. Sasa rafiki yangu mmoja kuna siku akawa ananilecture eti nikikutana na mwanaume mwenye hela ili kumlia hela zake nimdangamye nina miradi anisaidie hela.
Kwa mfano akasema nimwambie nina kiwanja bagamoyo anisaidie kujenga nikamwambia mi siwezi uongo ntadakwa tu maana nitajisahau siku.
Kina kaka hawa slay queens wengi mnaowana hata pa kuishi hawanaga wanakaa kwa mashoga ila ukimuona anavyoringa sababu anataka umuone wa gharama umpe pesa nyingi.
Wanaazimaga magari waje nayo kwenye outing ili ukimuona umpe pesa ya mafuta sio nauli ya uber au bajaj.
Kuna kesi niliisikiliza mwanamke alimdanganya mwanaume ana mashamba ya mpunga na amefungua machine ya kusaga na kukoboa kwahiyo amsaidie kiasi kidogo aongeze kununua machine. Yule kaka alimpa 10M baby wake zimsogeze kwenye biashara. Akaja akamwambia gari yake imekwama amsaidie hela aongezee atoe gari kaka akatoa akijua gf wake ana akili ya maisha pale anamsaidia kwa ajili yao. Kumbe alikua hajui zile hela akizitoa wenzie tunaenda zetu brunch Hyatt kuzitumbua pesa za shemeji.
Ila alikua anavyomuona kwanza anajulikana. Anavaa vizuri utasema nani sijui. Nywele za gharama tupu. Duka analoenda ni JM Virgo. Anaishi maisha ya juu kuliko hata uhalisia wake. Ila wanaume wakiona wanapapatika wanampa hela maana wanapigwa fix dada ni self made millionaire wanaingia king kumbe wakitoa anaenda kuvaa apendeze apatikane mwingine ahudumie.
Siku hizi kila mwanamke unaekutana nae atakwambia mwanafunzi mara mfanyabiashara ili tu akuvuteni maana nyie si ndo mnajitia mnapenda hayo kaka zangu kumbe mtu hasomi wala nini anauza k mjini aishi.
NA KINA SISI TUACHE KUONGEZA NAMBA MTU AKITAKA KUKUPA ATAKUPA TU.
pale makoroboi?Hahaha sie wengine nguo zetu zinajulikana bei za makoroboi
Nione wivu wa nini mkuu wakati na mie akipewa nakulaga?? Ningekua na wivu ningembebea mabwana zake maana wana njaa hatari ila mi mstaarabu huwa naficha njaa zangu wala siwezi ona wivu maana nikivitaka napata kwa hao hao.Hivi lakini Mzigua90 unajua hufanyi poa kuyaeleza haya ya mwenzako hapa.
Wewe utakuwa umeumia kwa namna moja ama nyingine, naomba nikupe pole japo ulichokisema kila ukweli.