Uyu dada anamilik asset za kiasi gan kwa sasa alizovuna kwa huyo shemej ako wa kugharamia mamilioni....10m+Kuna watu wanajua kugharamia haswaaa. Kama huyo shemeji yangu alikua kutumia million kwa siku wakionana na beb wake wala sio shida. Kwanza makutano yao ni hotelin. Wakiachana na babe anampa kuanzia million moja. Siku akimpa laki 5 shoga atalalamika hatari mapenzi yamepungua anapewa kidogo. Bado anampa hela ya matumizi ya home laki 5 kila mwezi. Sema hizi ni kutokana na story zake so inawezekana alikua anaongeza 000 maana ni bingwa
Menopause siyo mchezo nilikua nasikia tu,saa hii na experience kabisaAh ah ah ah ah ah ah uzee nao unachangia jaman aha ha ah nimejikuta nachekea tumbo aithee
Na kweli hata mwili unakujaBora usiwe nazo tu maana navyokujua
Ungenijibu kwa wakat HornetMenopause siyo mchezo nilikua nasikia tu,saa hii na experience kabisa
Halafu niliona notification ya shamba kibaha,
Are you serious?
Kcuf you [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nywele nguo na gari..
Menopause occurs when a woman hasn’t menstruated in 12 consecutive months and can no longer become pregnant naturally. It usually begins between the ages of 45 and 55, but can develop before or after this age range.
Ofcourse ndo assets zetu hizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo ukweli huo jamani.
Pasipo na shaka uzee ni chanzoMenopause occurs when a woman hasn’t menstruated in 12 consecutive months and can no longer become pregnant naturally. It usually begins between the ages of 45 and 55, but can develop before or after this age range.
Hapana sikumaanisha wewe...na ofcourse sikucheki heading so sorry sho![emoji120] [emoji120]Yamekuaje ya kuniita mnafki tena sho??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....unapenda mchambo bidada haaahaaa!Naona kuna linalopita... kama ni mchambo au chochote karibu pm maana sielewi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] dah!watu mna visa!!Ila kuna watu wanafiki na fake sana asee !
Mkwee we huongezi 000....Naona kuna linalopita... kama ni mchambo au chochote karibu pm maana sielewi.