Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

Kuna watu wanajua kugharamia haswaaa. Kama huyo shemeji yangu alikua kutumia million kwa siku wakionana na beb wake wala sio shida. Kwanza makutano yao ni hotelin. Wakiachana na babe anampa kuanzia million moja. Siku akimpa laki 5 shoga atalalamika hatari mapenzi yamepungua anapewa kidogo. Bado anampa hela ya matumizi ya home laki 5 kila mwezi. Sema hizi ni kutokana na story zake so inawezekana alikua anaongeza 000 maana ni bingwa
Uyu dada anamilik asset za kiasi gan kwa sasa alizovuna kwa huyo shemej ako wa kugharamia mamilioni....10m+
 
Kcuf you [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ndo ukweli huo jamani.
 
Back
Top Bottom