Wadada wa Mjini na Tabia ya Kuongeza 000

uzuri nikiwa mwaka wa kwanza chuo ndio nilipigwa hivyo tena na demu niliyemuamin sana... nikajifunza

alafu sasa mungu alivyonipenda nina rafiki TRA nina rafiki TPA ukija kwenye garage ndio usiseme

-ukisema umeanzisha biashara unataka kodi nakuunganisha na rafiki angu wa TRA tena akufanyie hadi mafekechee kwenye makadilio kama ni uongo inakuwa imekula kwako

-eti oooh gari imekwama bandarini daaaah tena hapo ndio nna mdau wangu roommate wa zaman kabisa nakwambia chukua hii namba umpigie huyu jamaa mwambie nimekutuma


-eti oooh gari imeharibika hapo sasa nna watu wengi kwanzia safari auto.. 0-60...mr jerry na wengineo

siliwi hela kijinga mm 😂😂😂
 
Hahahaahahaaa. Basi unafaa pia
 
 
Ndege mjanjaa!![emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Haha,kaongeza 000 huyo,kwa typical mwajiriwa wa bongo kutoa mamilioni sio rahisi,labda mfanyabiashara
 
Wakomaaji tu hao. Ukiona unaweza kumpa.millioni zaidi ya moja mwanamke ambaye hujamuoa ujue na wewe akili yako hewa tu.
Kama unampenda mdada na unajua ana akili ya maisha si umuoe alafu uone hivyo vitu akiwa kwako
Kwa utafati wangu mdogo, wanawake wenye akili nyingi huwa na tabia zifuatazo
1. Wako simple. Wako simple sababu wanajiamini na kichwani mwao mmejaa madini so hawana insecurity
2. Hawana make up nyingi. Hawa wengi utakuta wako busy na mambo ya msingi kama shule na hata biashara zao. Sio rahisi atumie masaa matatu saloon
3. Amejitosheleza. Hapa hasa waliotoka familia bora. Hawahitaji kuthibitisha wana hela maana wamezaliwa kwenye hela na wanachotaka kwa mwanaume sio pesa bali upendo. Hawana haja ya kujionyesha wao matawi ya juu. Wewe tu ukiwa karibu naye utajua. Sasa pata wale wa Tandale na Mbagala. Akishika kasimu kama millioni anataka kila mtu aone
4. Huwa ni nadra sana kukuomba pesa. Nasema tena ogopa mwanamke akuombaye pesa. Swala la kumuomba pesa mwanaume linamaanisha yafuatayo
A. Huyo ni mvivu hana kipato wala hakuna kuliingizia kipato
B. Hana maadili. Mtoto alifunzwa hawezi kumuomba pesa sababu umemtakia unampenda
C. Kwao ni hoi bin taabani ndio maana anaomba omba maana wazazi wake hawana uwezo wa kumpa mahitaji ya kutosha
D. Hana maadili ya kifamilia na kidini

Ogopa wanawake wa kujirusha hao waache wafanye kazi ya kuridhisha wengi. Mke hana tabia za hovyo kama hizo

 
Mbona hayo ni mambo ya kawaida sana kwa wanaume Mzigua90 .
Almost wanaume wengi sana tunaingizwa town ingawa kiasi kinatofautiana kutokana na uwezo wa mtu .

Lakini asikuambie mtu hata mwanaume ambaye hana kitu ana namna yake tuu ya kugharamika ili tuu aweze kupata papuchii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…