Wadada wa Mujini Fursa imejileta, itumieni

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,746
sipati picha watakavyo pigana kikumbo kupata mawasiliano yake.chezea wadada wa mujini wewe.
 
Dah....Popoma kwahiyo Wewe ni Demu? Jamaa katoa mfananisho ' mbaya ' sana ambao hauvumiliki.
popoma,
nimekuwa member mtiifu wa jf kwa maika mingi.

nina uzoefu wa kutosha ktk ku-control tamper ninapokuwa "nawashughulikia" vijana wanaopenda "michezo mibaya" kama huyo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…