Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
....uzi kama huu ungeanzishwa na demu kwa mbaaaali ungemake sense!
....uzi kama huu ungeanzishwa na demu kwa mbaaaali ungemake sense!
popoma,Dah....Popoma kwahiyo Wewe ni Demu? Jamaa katoa mfananisho ' mbaya ' sana ambao hauvumiliki.
...kwa kunyoosha kwake kidole kanielewa 'Adella!'...Mkuu umeona lakini hapo juu na yeye amekujibu? Nalisubiri jibu lako kwake kwa hamu sana!
Kwahiyo wewe lengo lako nini,ulitaka uone jamaa kapaniki au ........??Dah....Popoma kwahiyo Wewe ni Demu? Jamaa katoa mfananisho ' mbaya ' sana ambao hauvumiliki.
Kwahiyo wewe lengo lako nini,ulitaka uone jamaa kapaniki au ........??
na dada yako nae achangamkie fursa ausipati picha watakavyo pigana kikumbo kupata mawasiliano yake.chezea wadada wa mujini wewe.
![]()