Wadada wa Saluni Sitaki Uchokozi Wenu

Wadada wa Saluni Sitaki Uchokozi Wenu

Boss la DP World leo nikaenda saloon kujiandaa kwaajili ya kuhudhuria kwenye hafla moja ya heshima sana. Baada ya kumaliza kupunguza nywele nikaelekezwa kwenye chumba kwa madai ya kwenda kuosha.

Kufika kule nakuda wadada 2, black beauty 1 akaja mwingine akafungua mlango akasepa, aliyebaki akaniuliza nataka huduma gani nikamwambia kuosha akasema tufanye scrub basi nikasema hapana.

Kipindi ananiosha akaanza kunishikashika masikio na mabega taratiibu huku ananiambia karibu massage, Boss la DP World nikaishiwa nguvu nikakubali akafungua chumba kingine tena kipo kulekule ndani nikaenda.

Akanipa maelekezo eti natakiwa kubaki na boxer tu, halafu nijifunike na shuka fulani hivi yeye akatoka ili nijiandae, baada ya dakika akarudi. Kilichofuata ni visa na utapeli wa kisaikolojia.

Kwakweli tulienda hatua kwa hatua tukaishia kwenye body to body massage, kuhamaki bili ni 120k. Huu si wizi wa kimahaba kabisa?, Hii haikubaliki kabisa. Kama wewe mdada uko humu siji tena saluni kwenu, kwanza umenimalizia nguvu zangu.

Sema nilipata raha.
ila wanaume tunazongwazongwa sana!yaani unapanga kabisa kuwa nitakaza hapa!lkn unalainishwa mpk unajikuta unafanya huduma ambayo sio!daah
 
Ukienda Thailand wewe tunakuacha huko.
 
ila wanaume tunazongwazongwa sana!yaani unapanga kabisa kuwa nitakaza hapa!lkn unalainishwa mpk unajikuta unafanya huduma ambayo sio!daah
Ata siri utatoa mbona Samson alilainika sembuse wewe 😅
 
icho ndicho kilichonifanya nisifungue hizo biashara, hua naona kama nasambaza uzinzi. salon za kiume za kisasa zote ni madanguro, kama pale ndani hautapiga mwanamke, basi atakupatia namba ya simu mtafutane sehemu, wanajiuza waziwazi. ukisikia scrub tu, uwe makini, akisema karibu massage, jua moja, mnaenda kufanya ngono na utamwachia chake, na utaondoka na UTI au gonjwa.
 
Back
Top Bottom