Wadada wa Saluni Sitaki Uchokozi Wenu

ila wanaume tunazongwazongwa sana!yaani unapanga kabisa kuwa nitakaza hapa!lkn unalainishwa mpk unajikuta unafanya huduma ambayo sio!daah
 
Ukienda Thailand wewe tunakuacha huko.
 
ila wanaume tunazongwazongwa sana!yaani unapanga kabisa kuwa nitakaza hapa!lkn unalainishwa mpk unajikuta unafanya huduma ambayo sio!daah
Ata siri utatoa mbona Samson alilainika sembuse wewe 😅
 
icho ndicho kilichonifanya nisifungue hizo biashara, hua naona kama nasambaza uzinzi. salon za kiume za kisasa zote ni madanguro, kama pale ndani hautapiga mwanamke, basi atakupatia namba ya simu mtafutane sehemu, wanajiuza waziwazi. ukisikia scrub tu, uwe makini, akisema karibu massage, jua moja, mnaenda kufanya ngono na utamwachia chake, na utaondoka na UTI au gonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…