Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

Wanauzia online ndugu
 
Ukweli mchungu ambao hausemwi !
 
"Mabwana" wapo wengi, na wewe anza kujiuza kama ni wepesi.

Nakushauri uanze kumuuliza mama'ko, alikulea kwa biashara ipi?
 
Siku hizi biashara sio lazima ujaze duka, wengine wanafanya uwakala wa bidhaa, ana connection na wauzaji wa jumla kariakoo ama posta. So anaweka sampuli ya vitu ukipata mteja anaagiza mzigo unaletwa na boda fastaaa

Nukuu ya leo: sio kila siku tuwe na mawazo hasi ama mgandoo
 
"Mabwana" wapo wengi, na wewe anza kujiuza kama ni wepesi.

Nakushauri uanze kumuuliza mama'ko, alikulea kwa biashara ipi?
Wewe ndo unajidai upo kwenye swaumu ama unashinda njaa ? Kulikuwa na sababu ya comment yako hapa au umeamua tu kuonekana na wewe unakomenti ? ,,, ! Mama yangu ameingiaje hapa ? Ushazeeka kutwa kujibishana na vijana kwenye mitandao , kaa lea wajukuu ! bladifakini
 
Mama wa wenzako hujawaona ulipokuwa unaandika? Au mama ni wako tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…