Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

Wadada wa siku hizi sielewi wanawezaje kuendesha biashara zao ndogo kwenye fremu za gharama kubwa

mastaa wengi mjini wanaishi kwa nguvu za wanaume wenye maokoto mengi kama wanasiasa, waajiriwa flani wenye 8 digit income na wafanyabiashara konki mixer drug dealers

Finally usipambane na mwanamke
 
Mwanamke akiwa na tamaa zinazoumia ni sehemu zake za siri.
 
Ndio maana wenye nyumba za fremu, kupangisha, apartment, lodge ndio wenye uhakika wa maisha mjini.

zunguka kote hawa watu vibunda wanakusanya kila baada ya miezi 6 au 12.
 
Back
Top Bottom