Wadada wa Tigo na vigauni vyao mlimani city!!

JF ni kiboko, hadi picha zimepatikana!

Lakini hata CRDB kaunta zina watoto wakali aisee. Stanbic Bank, nako aah siyo haba.
 
Mkuu boresha kidogo na tupicha wakiwa wamesimama tuelewane vzr
 
Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?[/QUOTE
Una matatizo ya how you conceive things. Fuuta yako tu, dunia ina mengi, hao wanavaa vizuri sana nadhani
 
Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
Hili jambo linanikera sana, halafu utaona watu wengi na heshima zao wanapita tu badala ya kukemea, Mimi najiuliza hivi hawawezi kuuza visimu vyao bila kuwaaibisha dada zetu?
 
Nimefungua hii thread nione PICHA ila nimekutana na maneno matupu [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Hizo ni mbinu za kuwanasa wateja, si ajabu uzi huu ukafanya wengi kwenda kujionea hizo sketi. Nikipata wasaa nitapitia pia kuchungulia tigo.
 
Mbona kama mamiss!! Hasa huyo wa kwanza kulia kama Miss TZ 2016!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…