Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usipate shida wanatangaza huduma ya tigo haoHawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
Njaa inashusha thamani Dada zetu hayaa tigo uniform wamewapa basi wangewapa na bajaj za tigo.
Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?[/QUOTE
Una matatizo ya how you conceive things. Fuuta yako tu, dunia ina mengi, hao wanavaa vizuri sana nadhani
Hili jambo linanikera sana, halafu utaona watu wengi na heshima zao wanapita tu badala ya kukemea, Mimi najiuliza hivi hawawezi kuuza visimu vyao bila kuwaaibisha dada zetu?Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
ZInakuwa za wadogo zao sio bureKazi kweli kweli, sasa hizi nguo ni fupi au zina shida gani. Tembea uone