Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Fata huduma iliyokupeleka ukimaliza ondoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
Mkuu unachosema ni kweli...kama stanbic pale masaki kuna mtoto mmoja ana chuchu ndogo ndogo wa ukweliJF ni kiboko, hadi picha zimepatikana!
Lakini hata CRDB kaunta zina watoto wakali aisee. Stanbic Bank, nako aah siyo haba.
Sana tuNa ni wazuri haswaa...
Kweli uli-gwankaja!!!! (joke! )Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
wengine wana ujauzito hapo·
Acha tamaa,fuata yaliokupeleka huko mlimani city,ukienda ulaya wewe siutabaka na kufungwa,wenzio tumeshazoea tunaona kawaida,au mzee umehamia kutokea mkoani karibuni?take it easy don't panic...Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?
40000 per dayHalafu utakuta ni vidada virembo tu mpk najiulizaga ivi huwa wanalipwa sh ngapi wale?!
Si wanauza tiGO jamani au?Hawa wadada wanavaa vigauni vifupi hakuna mfano. Kwanini wafanye hivyo, au kuna biashara wanafanya mimi ndo sijaelewa?