sasa ukute wa uswazi ana tako na digri alooo, au ukute wa kishua ana digri na ana tako ebwana eehUswazi dada zetu wanaringia tako ushuwani wanaringia digirii uamzi ni wako kuchagua yupi
Na channel O(SIM 2)Kinachotokea sasa, jamaa mwenye degree ambae ana mke mwenye degree anaenda kuchukua dada wa uswazi kama mchepuko wake sababu ya tako na mautundu.
Ndio tako lenyewe hilo sasa😂Na channel O(SIM 2)
🕳️Ndio tako lenyewe hilo sasa😂
Degree zipi mkuu? Maana Kwa sasa mtaani kuna degree nyingi sana zinacheza chura tu, wengine nenda pale valvet Sinza siku ya kigoma utawafnya Kwa ten tu.Uswazi dada zetu wanaringia tako ushuwani wanaringia digirii uamzi ni wako kuchagua yupi
Umeshazeeka mtu wangu, hayo ya vijanaWanafanyana live? Valvet ndo ambiance?