Sasa mtu wangu mbona unaniangusha, naomba buku 5 unaniringishia hayo makaratasi mekundu kama karatasi za kupigia kura[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Nina pesaa hapa ngoja nikutumie picha salary hiyo imebak balanceView attachment 1165560
Ya kipindi kile ukiwa na subila kabla hujaja darHiyo picha iko wapi, labda nimenenepa.
Oooh nikiwa nimebeba mdama wa bibi?Ya kipindi kile ukiwa na subila kabla hujaja dar
WoiiiiAsante mamy[emoji125][emoji125][emoji125] nilijua ni kitendo cha muda tu utazisifia kucha zangu maana hakuna ambae hajawahi kuzisifia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa dadaSasa wengine sisi matapeli uongo kama wote kila danga unalidanganya uwezavyo hapo akikuumbua umekwisha.
Kila mtu anaishi vile awezavyo ili uweze kusafiri kwenye hili roli la ulimwengu.
Mtandao pendwa lazima ulihusika?
Kabisaa jamani my dear...Sisi ambao sio maarufu hii tahadhari haituhusu eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora ungetafunwa ungekaa kimya..Hivi umekuja kutuharibia mawindo..Nimeponea chupuchupu
Hivi bado watu wanatiana huko halafu wanakuja kusemana public?
Pussy na dick ina overwhelm watu sana aisee!
Na hivi mtu anatongoza mtu JF atakua ameji-sacrifice kiasi gani aisee?
Unawezajikuta unatongoza mkeo kabisa!
What the fvck is that?
Rule nombre uno:.....Usikae utongoze mtu JF,otherwise you will get high with your own supply!