residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Msalimie FM hapo Pestana.Haya twende Pestana tukapoze rohooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalimie FM hapo Pestana.Haya twende Pestana tukapoze rohooo
Ni mtizamo 2What?[emoji15][emoji15]
Nilianza kujihisi ni mimi ila kwa vile huyo ana macho makubwa basi siyo mimi.
Umedanga sana Demi, kama haujanunua hata ka Vits, inafaa tu Ukalime.
Sifa zote zangu lkn mm sio mtu wa matukio.... Labda NYAMA CHOMA kidooogo!
Kassim Mganga kazi anayo manina. Maana inasemwa kua chizi akitembea uchi aibu huona ndugu zake
boss upo?Hahaha hii code hii! ! Daah
Nipo mkuu ...vipi haliboss upo?
Hali ni shwari, ulishaoa?Nipo mkuu ...vipi hali
Kuoa tena? ?..nasubiri mpaka wewe unitangulie kwanzaHali ni shwari, ulishaoa?
Dah....sifa zote ninazo...isipokuwa hiyo no 5.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]Msije kusema Demiss haukutuambia ila nawaambia bebishana naye huko pm.
Hamia mpaka WhatsApp mbebishane.
Mlilie njaa zako vya kutosha.
Jiandae kuja kuumbuliwa huku.
Mdada wa jf ukikutana na dume WhatsApp ana sifa zifuatazo umekwishaaa
1.Mweupe
2.Bonge
3. Ana upara
4.Ana macho makubwa.
Umekwisha janjaaa yako hasa wadada wenye njaa msiokuwa na kazi za kufanya mjini mnaosubiria hela za madanga mjiangalie sana nawaambia mnapaswa kuwa makini kwenye sekta ya ufujaji pesa za wanaume kwa msimu huu mgumu.
Dume hili likikupata umekwisha tena uwe una I'd inayojulikana utakomaa utatamani ubadili I'd.
Nyongeza: Wale wanaume wambeya wa jf mkachat sasa pm na tsap mseme Demiss kakusema wewe .
Location : Kufata salary NMB Mazengo.