Wadada wamekuwa cheap Baada ya Mnyoosho wa Baba Jesca!

Wadada wamekuwa cheap Baada ya Mnyoosho wa Baba Jesca!

...teh hee hee..huu uzi mademu wanausoma na kusonya!
...kiiiiiiiiimyaaa!.shaaabash!
 
Ama kweli vita vya panzi furaha ya kunguru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]

Nimeamua nihamishie business zangu Kenya
 
hahaha wanaisoma kudadadeki, ukinunua????........................!!!
 
Hiyo kweli mfano mm kuanzia anko aingie nimewaburuza wengi kinoma yaaani nilikuwa nikigusa tu napewa jibu
 
hata hao wanawake wamaoishi kuwategemea wanaume na vimizinga wana roho ngumu daaah ni kipaji hiki kwakweli kuomba elf 5? wakati kuna vibarua kibaoo elf 8 kwa siku .

hawa ndio wanaume waliobaki Tanzania ya viwanda tusahau kuchekelea cheap sex kumbe wanaume wengi ni machangudoa sikujua![emoji134]
 
Back
Top Bottom